Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Endelea mwamba,naangamia ujanja umeishia hapaBado hajakuingia
Hujamshawishi
Kuna wengine kila SAA wana text upo wapi waje ghetto wanapenda kuja ghetto tena na nauli zao
Cha kufanya ni hivi ......au ngoja nikuache tu
Fanya yako huyo hayuko tayari kukutana na ww mpaka hapo
Dah asee,hakuna namna?
Nlikua nawaza hilo ila nkahic ataona najipendekezaMtumie hela au muunganishe kifurushi cha mwezi mzima! Namba unayo halafu unashindwa kuitumia! Umesahau ule msemo wa penye uzia penyeza rupia?
Ko nsijaribu ata kumtumia muhamala?Assume Amesafiri Kwenda Mbali.
I mean fanya mambo yako mkuu huyo utatumia nguvu nyingi utaishia patupu.
Huo ujinga usifanye kama hakitaki hqkutaki utapoteza muda na pesaNlikua nawaza hilo ila nkahic ataona najipendekeza
Mkuu....Wakuu hivi hii lock naitoaje?
Kuna binti flani nimetokea kuvutiwa nae sana
bahati nzuri juzi hapa tukakutana na akanipa namba yake
Ila changamoto ni kuwa nimemuuliza lini atapata nafasi tuonane nae,kanijibu hana muda kabisa yuko busy siku zote
Hapa wakuu nafanyaje maana siwezi tena kurudia kumuomba wakati kashasema hana muda[emoji2][emoji21]
Dah mapenzi haya.
Mpe huduma muhimu kwanza
Yeye hakua ananijua kabla mimi ndo nlikua namuona kama mwezi hivi ko siku hiyo uzalendo ukanishinda nikamuomba nambaMkuu....
Kitendo cha yeye kukupa namba yake tu, nidalili kwamba umeanza kumvutia pia.
Lakini kitendo cha yeye kukujibu kwamba hana muda, ni dalili kwamba kuna mtu ambae bado anamsumbua akili na hajamtoka moyoni bado.
Sasa.... Hapo jibu lake ni kwamba, hataki kuku poteza kwasababu wewe kwake ni chaguo la pili (spare tyre), na wakati huohuo bado anajaribu kuona kama kule pengine anaweza okoa jahazi ambalo nikama limeanza kuzama.
Wakuu hivi hii lock naitoaje?
Kuna binti flani nimetokea kuvutiwa nae sana
bahati nzuri juzi hapa tukakutana na akanipa namba yake
Ila changamoto ni kuwa nimemuuliza lini atapata nafasi tuonane nae,kanijibu hana muda kabisa yuko busy siku zote
Hapa wakuu nafanyaje maana siwezi tena kurudia kumuomba wakati kashasema hana muda[emoji2][emoji21]
Dah mapenzi haya.