Hana hisia zozote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hana hisia zozote!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pejokiss, Jan 20, 2012.

 1. P

  Pejokiss Senior Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari zenu wanajamii forum,mwenze niliachana na mpenz wangu kipindi fulan kutokana na vijimambo fulan ila nika jipa moyo ntapata mwingine,na kweli cku zkapita nikapata mwingine ili huyu mpya ni kuwa hana hisia zozote kuhus mapenzi na wala hataki kusikia kuhusu suala la kufanya nae mapenzi kwan nilipomtokea alinipa sharti la kutofanya mapenzi nami nikakubali nikijua atabadilisha mawazo lkin huo ndo umekua msimamo wake na hamna dalili yoyote ya kuonesha kubadilika hvyo nashindw nifanye nn.wkati mwingine nafikir kumwacha ila bado nampeda ila tatizo ndo hilo!nisaidien wajamen!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  akufukuzae hakwambii toka
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  we chamuhimu ni nini?
  Kukamua? Mapenzi ya tamthilia?
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kimbia mwaya,anakamuliwa na wengine huyo.
   
 5. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  mbona huyo kazi rahisi!! mwite geto hlf mfanye kama YUSUF MAKAMBA alivyomfanya mwanafunzi wake enzi zile.
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahahaha lakini wee ndio una matatizo.....yeye alishakwambia kuwa hutapata k sasa washangaa nini yeye kutokupa k......
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kama ulikubali maamuzi yake,yaheshimu....huwezi tafuta mwingine...mlizoea zile za msichana akisema No anamaanisha YES...siku hizi NO means NO and YES means YES....!!
   
 8. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  pole mzee, ila kama unamalengo naye ya kuoana vumilia tu bro.ila jitahidi ujiridhishe kama anakupenda kweli, na hakamuliwi, ila kama ni kupita tu we sepa, hapafai hapo.
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  akutukanaye hakuchagulii tusi
  mchunguze vizuri yawezekana akawa anamegwa pembeni
   
 10. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mkuu huyo nipigie pande mim nahisi atanifaa sana maana nimetafuta na ninawatafuta sana wanawake wa sample kama hiyo.

  Nipe contact zake mkuu
   
 11. s

  shee leo Senior Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ipo siku atakukamatia mwenyewe ebu kuwa na subira kaka.....loh!una uchu nae.
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Km kakwambia yy bado bikira bac uclumbane nae kwan ukalikubali mashart!ila km akikwambia ilishatolewa alafu ni mpnz wako na unampenda na una uhakika hakuna anepiga huko pemben bac vuta subiri mda ukifika peleka posa ila hakikisha kabla ya ndoa mfanye reheso kwanza!ila km utagundua anamegwa tafuta ustarabu mwingine haka km unampenda!
   
 13. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Kama unalengo la kuoa mvumilie hadi muda ufike
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,221
  Trophy Points: 280
  endeleeni kujitunza hadi ndoa
   
 15. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Si lazima kuonja onja, vuta subira mkuu.
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Usitangulize zinaa katika mahusiano mkuu!!!!
   
 17. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  eti nakupenda ila ngono sitaki uhungo mkubwa hakupendi..nimeshuudia mwenye mambo hayo..anayekupenda ukimng'ang'ania anakupa.akikataa jua akupendi hanauakika na wewe.
   
 18. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hahaaaaaa!!! mkuu lakini kumbuka zama zimebadilika, zama za kina Yusufu kulikuwa hakuna miaka 30 na wala TAMWA hawakuwepo!!
   
 19. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,334
  Trophy Points: 280
  Ma tomboy ndo walivyo ila huyo ni asset coz ukianza kupewa mzigo atakuwa muaminifu saaaaaaaaaaaana aiseeeeeeeeeeee:lol:
   
Loading...