Kukosa hisia za mapenzi sometime inatokea kama mwenzako kacheat au kakukwaza,au kakuchoka tu.Kutuuliza sisi unakosea sana wakati hujamuuliza yeye kwanini hana hisia na wewe.Hebu jaribu kumuuliza why hakufeel? Coz yeye ndo mwenye jibu sahih.Hebu ongea naye in a romantic way kwamba kwanini hana hisia na wewe.