Hana/ana haki ya kunilaumu

Mkuu una uhakika hiyo mimba iliyotolewa bila ww kushirikishwa ilikuwa yako?????? Tuanzie hapa
 
Kwanza pole kwa kufanana mkasa na mm japo wangu n babu kubwa Ila ushauri wangu ongea naye mwambie alivyokujeruhi na hofu yako ya kuendelea kukumbuka machungu uone kama ataweza kutibu machungu yako kisha sema na moyo wako yawezekana akawa mwema akakusahaulisha yaliyopita
 
Mkuu una uhakika hiyo mimba iliyotolewa bila ww kushirikishwa ilikuwa yako?????? Tuanzie hapa
Swali lako lina mashiko hapo uhakika nikwamba hiyo mimba haikua yake ndyo maana aliona isiwe tabu aipige chini
 
after two week tangu tuwe pamoja tukaenda wote kuangalia kama positive... mimba ilionesha ina wiki mbili tu, baadae nilipata ushaidi wa asilimia kubwa. niwe muwazi kidogo... moja aliogopa yeye ni mtoto wa dini upande ule na mimi upande ule. lakini ilo nikamtoa wasi na kumwambia mapenzi ya dhati ni kujitoa mhanga mimi nipo tayari kwa lolote na nitakua nae bega kwa bega. bora nife kuangaika sio kumwacha yeye anateseka. kiufupi adi kipindi icho katika maisha yangu nilikuwa sijui maana ya uongo... nilichosema nilimaanisha kutoka moyoni.
 
Pole hawa viumbe ndivyo walivyo

Back
Top Bottom