big soap
JF-Expert Member
- Feb 22, 2020
- 242
- 323
Nikiwa na miaka tatu na zaidi nyuma ya bila kuchakata papuchi kwa sababu zangu binafsi. kuna siku nikawa namsindikiza best wangu kwa mwenza wake jioni ivi saa mbili mbili usiku ivi. harakati za chuo na hekaheka za hapa na pale si kawaida.
Basi ile tumefika tumemkuta kweli na story za hapa na pale. mara mlango unagongwa na anaingia bi mdada flani... nashangaa kuona kuna kitu kinabadilika moyoni ni hisia za kipekee.
Maneno yasiwe mengi sana niseme nikaelewa somo tu. basi sijui sijui ndo dodo chini ya mpapai mzee nikajipasua.
Nikamweleza ukweli woote na uhalisia wangu na uhitaji ulioibuka kwenye moyo wangu.
Basi kweli kumbe shemeji yangu ashampaga sifa zangu na alinielewaga uko uko moyoni akameza basi nae siku ile akawa anatema.
Raha na mzuka wa pale ausimuliki, natia neno anapigia mstari kuja kustuka naemea paji lake la uso midnight .
Issue inaanza, tumekutana siku moja, tumefanya mara moja na tayari mtoto wa watu kadaka preg.
Nikamwambia tulia this mean true nakuadi nitakufa na wewe aijarishi tumekuta aje ila naomba iwe mie na wewe hadi milele. basi ile bi mdada analia na mimi vimachozi vinanitoka. maneno akinipa nami natoa kama drama isiyosimulika.
Nikawataarifu watu wangu wa karibu na nikaanza kujipanga kukamilisha michakato ya utambulisho nilijiamini balaa i saw it as fate to me.
Basi siku kama kadhaa mbele bi mdada akaaga anaenda kwa ndugu zake nami nikatoa go ahead.
Baada ya wiki kadhaa anarudi adi maghetoni tumeshinda wote furaha tu usiku umefika nataka kupiga show anasema anablid nauliza mimba ipo wapi, mbona sielewi? what wrong mda huo nikaanza kupagawa kichwa kikawa cha moto.
Basi akanipa story nyingii kifupi alitoa mimba bila kunihusisha. mwili ukafa ganzj ganzi penzi nikaona linashuka na roho inaniuma kwa nini aniamini. ilikuwa siku mbaya kiasi kwamba siwezi kusimulia sana tukio hili. basi tukaachania pale.
Basi baada ya miaka kama mitatu bi mdada ananipigia na anasema miongoni mwa kosa atakolojutia ni kile kitendo. na akasema ajawai ona duniani kama mimi na awezi ivyo nimfikilie tu kila nikijaribu nashindwa kabisa naona kama naunda kuutesa moyo wangu
Je ana/hana kosa?? au mimi