Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,017
- 30,359
- Thread starter
- #41
Lukubuzo...sasa unalalamika lalamika umeme unakatika,kwani mnashindwa kununua jenereta?
Hapana sijalalamika...
Nimeeleza fikra zangu hunirudisha nyuma kufikiria misikiti ya Kariakoo ilivyokuwa wakati umeme ulipokuwa bado pale umeme unapokatika hivi sasa.