Hamu ya tendo kupita kiasi.

Hamu ya tendo kupita kiasi.

Majaribu2013 una tatizo la kupenda ngono kupita kiasi, kitu ambacho sio kizuri. Maana humo kuna mengi. usipopata jigonjwa huko utaambulia balaa lingine, na pia ukishazoea sana kufanya ngono kama starehe yako kuu, kuna hatari ya kuangukia kwenye uliberali, kwa kudhani kuwa huko kuna starehe zaidi. Nakushauri usali sana na uwe karibu na mafundisho ya kiimani. Haya nakutakia siku njema!
 
Back
Top Bottom