Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,132
- 3,398
Mtawezena na huyu
Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Jitahidi mazoezi Mara kwa Mara,kuwa busy na kazi kaka.huu ni ugonjwa wa hakili(mental illness) inaitwa sexual mania.Moja kwa moja kwenye mada.
Mm ni mwanaume mwenye umri wa 30 yrs (jina kapuni na mkoa kapuni)
Nimeoa 2019, yanayonikuta ni kwamba napenda sana kusex yani tukitoka tu job kabla hata hatujaoga Mzee nishadandiaa kwa wife then show ya kibabe kwa bao 2 then ndio ustaarabu meingine unafuata, hapo sichezi mbali jioni baada ya kulaaa hakuna tym ya kupoteza nikumwambia baby tukalale (Baada ya tamthilia ya HUBA kuisha)
Tukifika bed ni mwendo wa show tu.
Sasa hiii tabia wife hapendi sanaa ingawa mwanzoni alikuaa anafurahiaa but now ameonaa kasi ni kubwa mnoo.
Naomba ushauri wakuu nifanyeje ili nibalance mambo?
NB: kama huna la kunishauri kausha matusi sio dili
Aiseee nadhani huyu amenizidiMtawezena na huyu
Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza
Utagundua faida za kuwa na mke zaidi ya mmojaMoja kwa moja kwenye mada.
Mm ni mwanaume mwenye umri wa 30 yrs (jina kapuni na mkoa kapuni)
Nimeoa 2019, yanayonikuta ni kwamba napenda sana kusex yani tukitoka tu job kabla hata hatujaoga Mzee nishadandiaa kwa wife then show ya kibabe kwa bao 2 then ndio ustaarabu meingine unafuata, hapo sichezi mbali jioni baada ya kulaaa hakuna tym ya kupoteza nikumwambia baby tukalale (Baada ya tamthilia ya HUBA kuisha)
Tukifika bed ni mwendo wa show tu.
Sasa hiii tabia wife hapendi sanaa ingawa mwanzoni alikuaa anafurahiaa but now ameonaa kasi ni kubwa mnoo.
Naomba ushauri wakuu nifanyeje ili nibalance mambo?
NB: kama huna la kunishauri kausha matusi sio dili
Yani hapo mama wa watu ni kulalamika tu, hadi anaomba ushauri kwa mashosti,,
Yaniii wajamenii mim mwenzenu,
mwenzenu ndoa yangu isha kua ghalika.. baba chichi anaweka mambo..
Mwanamke mwenzangu kazi anayo..dyudyu Kila muda!!
Anza kufanya mazoezi walau itasaidia kupunguza kuDo kiasi icho.
Umenikumbusha kuna askari polisi alikuwa Na hilo tatizo SAA 4 muda wa chai KITU, SAA 8 muda wa Lunch KITU jioni SAA 12 akitaka kwenda matembezi KITU. mpaka alianza kulalamika hadi kutuambia wanaume.Moja kwa moja kwenye mada.
Mm ni mwanaume mwenye umri wa 30 yrs (jina kapuni na mkoa kapuni)
Nimeoa 2019, yanayonikuta ni kwamba napenda sana kusex yani tukitoka tu job kabla hata hatujaoga Mzee nishadandiaa kwa wife then show ya kibabe kwa bao 2 then ndio ustaarabu meingine unafuata, hapo sichezi mbali jioni baada ya kulaaa hakuna tym ya kupoteza nikumwambia baby tukalale (Baada ya tamthilia ya HUBA kuisha)
Tukifika bed ni mwendo wa show tu.
Sasa hiii tabia wife hapendi sanaa ingawa mwanzoni alikuaa anafurahiaa but now ameonaa kasi ni kubwa mnoo.
Naomba ushauri wakuu nifanyeje ili nibalance mambo?
NB: kama huna la kunishauri kausha matusi sio dili
Kwa hiyo na mm nitakufa?Umenikumbusha kuna askari polisi alikuwa Na hilo tatizo SAA 4 muda wa chai KITU, SAA 8 muda wa Lunch KITU jioni SAA 12 akitaka kwenda matembezi KITU. mpaka alianza kulalamika hadi kutuambia wanaume.
Bahati mbaya huyo askari alifariki baadaye. Hiyo ni psychological torture,
Kwanini mwanaume asivumilie?Kwani unataka uipe bia, piga mashine tu.
Mkeo avumilie tu, ndiyo maisha yenyewe. Kama unampenda usiende nje kutafuta mchepuko, msukumie rungu mkeo tu. Hilo ndiyo chaguo alilochagua.