nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,041
Huo umri unakuruhusu Mkuu! Subiri utakapofikisha kuanzia miaka 35 kuendelea na majukumu ya watoto one kama utakuwa na huo moto!
2 yearsHuyo mtoto ulosema ana umri gani
![]()




Ni kipaji mkuu kiendeleze.Ewaaaaaaah
Hahaha akiwa anasubiria game itiki ushaur aanze tar 17 EPL ampe arsenal ashinde dhid ya man city aone kama hiyo OOMB ITASIMAMAAnza kubet hamu zote zitaisha
Tafuta kipoozeokwa hiyo nitafute kazi moja kali sanaaaa sio
Alafu unakuta anaowasimulia wanamuonea gele. Haya Maisha hayajawahi kuwa sawa hata Siku moja.Yani hapo mama wa watu ni kulalamika tu, hadi anaomba ushauri kwa mashosti,,
Yaniii wajamenii mim mwenzenu,
mwenzenu ndoa yangu isha kua ghalika.. baba chichi anaweka mambo..
Lakin huoni jamaa akipunguza upigaji huoni mkewake ataanza tena ooooh mwanaume gan huyu kimoja tu chali, wanawake waliowengi ni vigumu kueaelewa nini wanataka, kwahiyo mimi naona jamaa aendeleze shoo, shoo tu.
Mwanamke mwenzangu kazi anayo..dyudyu Kila muda!!
Anza kufanya mazoezi walau itasaidia kupunguza kuDo kiasi icho.
MTU anaependa hayo mambo akifanya mazoezi ndyo unambust yaani ndyo atazidisha hamu ya kufanya mapenzi.Fanya mazoezi ya mwili ukitoka kazini, mwili utachoka baada ya mazoezi na hamu ya kugegeda haitakuepo kwa kua mwili umechoka sasa baada ya chakula cha usiku utaishia kulala tu hadi asubuh