mang'ang'a
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 828
- 379
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
haya mang'ana sasa. mang'ang'a sijui we wa wapi? Mlima Loleza, Nonde au yale mang'ang'a ya Uzunguni?ina maana unapenda kuTOA MBWAkitandani sana????
shikilia sana uaminifu wako, uaminifu ndio mkombozi wako katika maisha ya leoNazJaz...toto la kitanga,ningekua siyo mwaminifu ktk ndoa yangu ningekutafuta walao kwa siku moja