hapana bwana, hamu yaja yenyewe
hutaki??msilicngizie pepo kwa mumewe jamani
hutaki??
Hahahah vp Nazjaz mumeo kaacha kushinda na laptop na kahamia kudo kwa kasi?
hata tusipojifungia, wakati mwingine natamani tufanye hata tukiwa kwenye gari.
Siku moja kwenye machaka ya Coco Beach nilibanwa, tukapanddisha vioo na ku lock gari, hazikupita dakika kumi polisi wakalizunguka gari.[
Yaani hii hamu iko very costing
haya bwana pole kwa mkasa uliyo kukumbahapana bwana, hamu yaja yenyewe
Zion Daughter mwana maombi mwenzangu, hebu njoo huku fasta tukemeee mapepo
wewe unafaidi?afaidi wapi, sometimes nahisi kabisa kuwa anakinai
nahs huyu atakuwa amemletea mtu mada hapa sio yeye.
ama la ana kidumu kapata sasa kwasababu ndani hapati mkuyati hamu inamalizwa na huyo Bazazi alompata.
BTW mapenzi ya kuanza huwa ya staili hiyo kwamba kila siku lazima mfanye na tena sio mara moja ama mbili wengine hadi 6. ila kadiri mnavyozidi kuish hamu hupungua kutokana na mazingira na uchovu wa mwili hasa kwa wale wanaofanya kazi ngumu za kutumia akili sana muda wote. kama wahandisi ama watu wa kwenye migodi. hapa nafikiri Ndahani na Asprin watakuwa wamenielewa vyema zaidi
Kuwa ni pepostaki nini
Jamani hivi hamu kali ya ngono husababishwa na nini?
Hata ukicheza mechi masaa manne mfululizo ukikaa kidogo hamu imerudi mahali pake, yaani mpaka mtu anaweza akadhania unataka afie kiunoni kwako.
Msaada tafadhali
msilicngizie pepo kwa mumewe jamani
gfsonwin mwambie mwenzako Atafute dereva wa guta la baiskeli, wale unaaambiwa wakiisimamia shoo hawabanduki, akibanduka anakuacha uko hoi kama umekanyagwa na treni la Mwakyembe
nahs huyu atakuwa amemletea mtu mada hapa sio yeye.
ama la ana kidumu kapata sasa kwasababu ndani hapati mkuyati hamu inamalizwa na huyo Bazazi alompata.
BTW mapenzi ya kuanza huwa ya staili hiyo kwamba kila siku lazima mfanye na tena sio mara moja ama mbili wengine hadi 6. ila kadiri mnavyozidi kuish hamu hupungua kutokana na mazingira na uchovu wa mwili hasa kwa wale wanaofanya kazi ngumu za kutumia akili sana muda wote. kama wahandisi ama watu wa kwenye migodi. hapa nafikiri Ndahani na Asprin watakuwa wamenielewa vyema zaidi
[/QUOTE]hata tusipojifungia, wakati mwingine natamani tufanye hata tukiwa kwenye gari.
Siku moja kwenye machaka ya Coco Beach nilibanwa,
Nazjaz ndani ya nyumba....but am astounded by this statement...A diplomat is a man who always remembers a woman's birthday but never remembers her age.
Inaelekea computer programmer amekumbukia enzi zake...teh teh teh