Avumilie tu. wala hajabadilika anaishi katika uhalisia wake.
Kama mtu unaona mahusiano yana matatizo ambayo maybe hamuwezi kuyatatua, kwa nini tu asisitishe huo uhusiano? Leo hii unahofia mkiachana ndugu sijui marafiki watasemaje, ameshawaza wakiachana baada ya ndoa itakavyokuwa?
Anaingia kwenye ndoa kwa sababu yupo tayari au kwa kuhofia maneno ya ndugu. Maisha ni yake, na hakuna anayeishi maisha ya mwingine. Sasa aamue leo kufurahisha ndugu au aje kulia for the rest of her life.
Inahitajika mazungumzo ya kina kati yao wazungumze na Kuweka bayana mambo ambayo yamebadilika kati yao yanayoleta mwingine kukwazika hilo likishindikana basi asilazimishe Maana ni afadhali uvunje Uchumba si Ndoa