Hamtaendelea ng'o

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,550
Reaction score
3,092
Wana jamvi,

Nimekuwa si mwenyeji sana hapa JF lakini katika pita pita zangu nimegundua Tanzania tunakwamishwa na wanasiasa.

Tofauti na nchi nyingine ambapo utakuta wanasiasa ni watu waliofanikiwa kwenye field zao (Wanajeshi, Bankers, Wanasheria, wafanyabiashara, Lecturers, movie stars etc) bongo wanasiasa hawana fani zozote zaidi ya siasa.

Poleni watanzania kwani hawa viongozi wenu kazi yao kubwa ni siasa na wakitoka kwenye uongozi wanalala njaa.

Kwa hili maendeleo mtayasikia tu kwenye bomba

Poleni wazalendo wenzangu
 


Kwani Mkuu wewe ni mtu wa wapi ndugu yetu?

Hantaendelea au hatutaendelea?

Ukijibu hili, tunaweza kuendelea na mada.

Samahani Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…