hamnioni tena chit chat!

Nenda huko siasa sijui utakuwa mwenyeji wa nani umemzoea Kongosho na Zinduna hana shipa la kushushwa. Uragwaye se mwami... Pumzika Kwa Amani Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Si ndio unapenda yale makitu?
Au siku hizi hupendi tena?

Nakumbuka kipindi kile unasutwa soko la Tandale, uko kama Wema wewe hujielewi wataka bara au pwani.

We nae,sawa huwezi sasa hata kuangalia picha aliyotundika unashindwa? Ama kweli ndo mana fom fo ulipata ef ef ef ef ef ef ......
 
yaani unakubali Zinduna ajione mshindi?
haaaaa......
unanishangaza...
hebu bakia huku huku...
ila ukienda kwa babu mwambie ahamishe masikio ya Zinduna yahamie kichogoni na sehemu ya masikio aweke makalio..
Ndo tuko chini ya mbuyu hapa tunafukizia,we subiri tu.
 
Mzee, maamuzi haya ni matokeo ya rubisi au?
 
Si ndio unapenda yale makitu?
Au siku hizi hupendi tena?

Nakumbuka kipindi kile unasutwa soko la Tandale, uko kama Wema wewe hujielewi wataka bara au pwani.

Duh kaazi kwelikweli
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…