Kuanzia leo chit chat kwangu itakuwa sawa na sentro kama sio Isanga,sikanyagi tena. Mzee mzima nahamia jukwaa la siasa na thread yangu ya kwanza huko itakuwa na title:
TANZANIA BILA JAMII FORUMS INAWEZEKANA.
kudadadadeeeeeeki halafu mwambieni Zinduni nimemfungia safari namwendea Pemba!

Mwache akamtongoze Josephine Slaa aone moto wakeni furahaaa kotekote wanachit chat tunapofurahia kuondoka kwa BISHANGA chit chat inatuunganishaa ahaaa mbona raha na huko utatoka na manundu huku wastaarabu huko ukiwa huna fact ni kipigo tu
Una ndoa wewe?
haiwezekani!
Nakusikilizeni uzuri.
Kwa kudumisha ndoa za watu The secretary uko poa
Bishanga we si ndiye senior bachela?
Hureeeburiani...
naona umevuruga humu sasa unatafta VISU vya kwenye siasa sio?
ban inakunyemelea....sio bure.