mik van vex
Senior Member
- Jan 13, 2018
- 100
- 157
Heshimu +254 ndo nchi imenitoa kimaishaDaaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali sana, viwanja vyao vipo na mawe, chakula cha shida pale, wamezoea ugali na mboga za mlenda. Wadada wao sasa hata kupika hawajui, wazuri ila hawana matunzo kabisa yaani afu washamba.
Wanyaturu na wanyiramba samahanini Sijui wachagga wanapataje pesa pale maana asimili 85% ya wafanyabiashara wa ule mkoa wakubwa ni wachagga tena wa kibosho wengi. Wazawa wengi wako kwenye alizeti na vitunguu.
Naamini ipo mikoa mingine kama Singida walio ambulia zero pia. Serikali iangalie namna Singida nao wapate wamezungukwa na mikoa yenye tija wao wapo kati wanafyta mikia.
Wewe umewahi ishi wapi pakakuchosha, yaani hukupata chochote.