Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
Hahahahahah hata kama kujikuna anapofikia ndo hata kununua kizawadi cha buku jamani.....
Daaah we ndo wife material naetafuta...
Huyo atakuwa hajakupenda mbona mie wangu nampa sana tena kuliko hata yeye anavyonipa
Na hakuna kitu kinaboa kama mwanaume mlalamishi.........si usubiri.......je kama unataka kufanyiwa surprise..........
Tatizo hujafanya kwa utashi ndio maana unataka a pay back as you did to her! Bwt mbona tushabadilika siku hizi utakuwa una hang na wanafunzi wa o level na advance ndio maana! Mie my man siku nyingine hatulali hata nyumbani tunaenda kulala hotelini kabisaaaaaaa! ( gharama juu yangu) mwanzo alikuwa hajazoea alikuwa anahisi namtengenezea mazingira ya kumpiga mzinga wa maana kumbe mwenzie wala!
Yaani utakuta unampenda mdada na unamfanyia kila kitu ikiwemo kumtoa out, kumpelekea vijazawadi, hela za matumizi n.k lakini yeye hana hata mpango huo.
Yaani hata kukupa kizawadi cha pipi hamna.
Yeye ameganda tu anasubiri umfanyie kila kitu,kisa eti we ndo mwanaume.
Badilikeni wadada sio mpate raha nyie tu siku moja moja mnatutoa out na sie kwa kutumia hela zenu, mnatuletea vizawadi vya uongo na kweli na sisi turidhike kuwa tunapendwa na tunajaliwa.
Sio msubiri kufanyiwa mambo mazuri wakati nyie kuyafanya hamtaki.
Na hakuna kitu kinaboa kama mwanaume mlalamishi.........si usubiri.......je kama unataka kufanyiwa surprise..........
Wacha weeee!!! Kwa hiyo hata wewe unasimamia show kwa shem...
Hahahahahah hata kama kujikuna anapofikia ndo hata kununua kizawadi cha buku jamani.....
saaana mpaka boxer namnunulia.... kwani shi ngapi!!!!!!!!
Na hakuna kitu kinaboa kama mwanaume mlalamishi.........si usubiri.......je kama unataka kufanyiwa surprise..........
Duuuuh kweli ww una mahaba ya dhati... yaan hata demu akitaka atumie hela yake kukutoa out bado unakata!!!?