Robin Van Mysterio
Senior Member
- Jul 24, 2014
- 102
- 15
Yaani utakuta unampenda mdada na unamfanyia kila kitu ikiwemo kumtoa out,kumpelekea vijazawadi,hela za matumizi n.k lakin yeye hana hata mpango huo.
Yaani hata kukupa kizawadi cha pipi hamna!!!! Yeye ameganda tu anasubiri umfanyie kila kitu,kisa eti we ndo mwanaume!!!
Badilikeni wadada sio mpate raha nyie tu siku moja moja mnatutoa out na sie kwa kutumia hela zenu.. mnatuletea vizawadi vya uongo na kweli na sisi turidhike kuwa tunapendwa na tunajaliwa.. sio msubiri kufanyiwa mambo mazuri wakati nyie kuyafanya hamtaki.
Na hakuna kitu kinaboa kama mwanaume mlalamishi.........si usubiri.......je kama unataka kufanyiwa surprise..........
HATA KWA GREDA MWANAMKE/MDADA HANITOI OUT!!!! bora vizawadi ila out kwa pesa yake hapana, na hata ikitokea nimetoka nae basi jua pesa yote nalipa mimi sio yeye!!!
Hee!! Leo kimechange?? Jana sredi nyingi zilikuwa kuwalaumu wanaume hawajishughulishi leo wanawake tena??
HATA KWA GREDA MWANAMKE/MDADA HANITOI OUT!!!! bora vizawadi ila out kwa pesa yake hapana, na hata ikitokea nimetoka nae basi jua pesa yote nalipa mimi sio yeye!!!
Tatizo hujafanya kwa utashi ndio maana unataka a pay back as you did to her! Bwt mbona tushabadilika siku hizi utakuwa una hang na wanafunzi wa o level na advance ndio maana! Mie my man siku nyingine hatulali hata nyumbani tunaenda kulala hotelini kabisaaaaaaa! ( gharama juu yangu) mwanzo alikuwa hajazoea alikuwa anahisi namtengenezea mazingira ya kumpiga mzinga wa maana kumbe mwenzie wala!
heeeeeeeehh ng'astuka machale kundesaa, loooh alikuomba ununulie zawadi? kumbuka mtu anajikuna anapojifikia ati
Huyo atakuwa hajakupenda mbona mie wangu nampa sana tena kuliko hata yeye anavyonipa
hujakutana na anaekupenda mbona cku wanawake wengi ndo wanasimamia shooo..
pengne hupendwi ndo maana anakuona unajipendekeza tu kwake