Hamkawii kuibilizia.............!

Hamkawii kuibilizia.............!

haya huwa ni kwa watu maalum, kwa okesheni fulanifulani!!
ila kitaa ni noumerr...................
 
We hukuwepo White Party, ungeona jinsi wadada wa JF walivyotokelezea. Kama ningekuwa namiliki gazeti la udaku, ningeuza sana, nasikitika TANMO hakuwepo eneo la tukio, na kama angalikuwepo mbona Bishanga ageuza sana newz the followig day...........LOL

hahahah mkuu bora wewe unatumia miwani sisi mijicho ilitutoka mpaka sasa napata matibabu ya ngozi ya jicho
 
Kaka Mtambuzi my hubby aliniambia unafaa kuwa wewe ni Event Manager mzuri sana, Protocol Officer, Waziri Wa Jf( Wizara ya Fedha, Wizara ya Habari na Utangazaji, Wizara ya Usalama wa Raia,)na hapa JF nakuona kama mtu muhimu sana katika fani ya sanaa. Sanaa kwa maana ya ubunifu fulani wa mambo, achilia mbali udaku wa habari kama hizi. Hongera sana.....kuna combiations zako ambazo nazipenda nazo ni UNISEX. Jaribu pia kuzipost kwa lugha angalau mbili hizi, Kiswahili na Kiingereza.
ka upandw wa lugha asikudanganye mtu Mtambuzi kiingereza kinampiga chenga tafuta sehemu yoyote alipoandika kwa kidhungu nakupa vocha ya 10,000/=hahahahah leo nimekuweza sana wewe mtambuzi gugumia hilo siku nzima
 
Last edited by a moderator:

You know you nivea dont follow follow me...... You cant me bana, long time kitambo I was in Makerere Univest for four years taking Psycholojia of human being and marriage for black people in afrika.

When you tell people here I dont know Inglish you disrespect me and put me down to the earth. I will tell Mods to give you BANI so that next time you behave properly.

I hate you

Sema sasa hapo nivea nimeandika Ki Inglish au Kimakonde........... Ushindwe.......................LOL
 
mie nimependa hizo lips zake soo sweet, akicheka jee? na wale wanaosema kuwa lips zinaashiria kule chini katikati bibi anafananaje basi ujue hapo utakula utamu juu na chini. Kwa make up mie si sana ni mara moja moja huwa sipendi kuwa uniform pia am comfortable and najiamini kama nikipaka make up then observer asijue kwa haraka kama ni make up au ni mie original.
 
You know you nivea dont follow follow me...... You cant me bana, long time kitambo I was in Makerere Univest for four years taking Psycholojia of human being and marriage for black people in afrika.

When you tell people here I dont know Inglish you disrespect me and put me down to the earth. I will tell Mods to give you BANI so that next time you behave properly.

I hate you

Sema sasa hapo nivea nimeandika Ki Inglish au Kimakonde........... Ushindwe.......................LOL

heheheheeeee!!!
 
gramma mbovu sana Thando kame this way si nimekuambia mpaka amwombe mwanae amwandikie alishasema yeye hajasoma lazima awasomeshe wanae hahahahaahah mtambuzi a.k.a fundi mwashi leo mimi na wewe tu utankomajeeeeee
 
Last edited by a moderator:
gramma mbovu sana Thando kame this way si nimekuambia mpaka amwombe mwanae amwandikie alishasema yeye hajasoma lazima awasomeshe wanae hahahahaahah mtambuzi a.k.a fundi mwashi leo mimi na wewe tu utankomajeeeeee

Ngoja nikuitie mwanangu King'asti aje hapa naona unataka kunitoa jasho.

Mtoto huna adabu hata kidogo, you dont have discipline hata kidogo and you are fulish in your brein oblangata
 
You know you nivea dont follow follow me...... You cant me bana, long time kitambo I was in Makerere Univest for four years taking Psycholojia of human being and marriage for black people in afrika.

When you tell people here I dont know Inglish you disrespect me and put me down to the earth. I will tell Mods to give you BANI so that next time you behave properly.

I hate you

Sema sasa hapo nivea nimeandika Ki Inglish au Kimakonde........... Ushindwe.......................LOL

Haya sasa nivea njoo uone kidhungu
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikuitie mwanabgu King'asti aje hapa naona unataka kunitoa jasho.

Mtoto huna adabu hata kidogo, you dont have discipline hata kidogo and you are fulish in your brein oblangata
hehehehehehehhe si unaona aaaaa kiinglish uko empty set wewe mzeee hilo ndio neno gani hapo umeandika haya nenda ukaombe tena mwanao akupe desa empty kabisaa hata huyo King'asti wako hicho ndio nini anakudesia?
 
Last edited by a moderator:
Jamani umenionea, mimi na minyusi wapi na wapi, au lemba langu hulioni vizuri? Bhageshi kinehe!!

Mie sikuonei na lemba lako naliona kila siku nikiingia Jf na nalizimia kinoooooooooooma, lemba umelivaa kimtindomtino, tazama na nyusi zko zilivyo simama na wanja wake kwa juu na macho ya mlembuo au mnasema mapozi kifupi inaonenesha u mwanamitindo wa fani ya ulembo wa sura na kichwa kwa ujumla. Sasa tazama huyo wa Mtambuzi ana lemba na nyusi zake zimesimama mojamoja nae anaonekana muda mwingi anamalizia katika kichwa na sura awepo kwenye ile meza.
 
Back
Top Bottom