We hukuwepo White Party, ungeona jinsi wadada wa JF walivyotokelezea. Kama ningekuwa namiliki gazeti la udaku, ningeuza sana, nasikitika TANMO hakuwepo eneo la tukio, na kama angalikuwepo mbona Bishanga ageuza sana newz the followig day...........LOLMake-up yenyewe tu shida sembuse kupaka hayo??? Labda kama una jarida lako Mtambuzi niuzie sura tu!
Usije shangaa White Party ya mwakani baadhi ya warembo wa JF wakajipamba namna hii..........
Watapendezaje....!
Hebu amu, Paloma, cacico, Madame B, gfsonwin, Jeska, lara 1, marejesho, mwaJ, nivea, Lisa, snowhite, Kipipi, Smile, Asnam, Neylu kujeni pande hii mumuoane mwenzenu alivyotokelezea....... LOL
Ndo maana nikajisemea mie baba'angu . . . .hizo swaga zina wajanja wake(nadhani unawajua kwa sababu uliwaona!)
Kaka Mtambuzi my hubby aliniambia unafaa kuwa wewe ni Event Manager mzuri sana, Protocol Officer, Waziri Wa Jf( Wizara ya Fedha, Wizara ya Habari na Utangazaji, Wizara ya Usalama wa Raia,)na hapa JF nakuona kama mtu muhimu sana katika fani ya sanaa. Sanaa kwa maana ya ubunifu fulani wa mambo, achilia mbali udaku wa habari kama hizi. Hongera sana.....kuna combiations zako ambazo nazipenda nazo ni UNISEX. Jaribu pia kuzipost kwa lugha angalau mbili hizi, Kiswahili na Kiingereza.
Ahsante sana Thando kwa mawujiko, lakini kwa bahati mbaya sana nilikimbia umande, na Kiingereza hakipandi kabisa labda nijaribu KIZULU cha kule kwa MADIBA
Najua kwamba ulwimi ululodwa alonelanga lakini naomba mnivumilie....
Lala Kahle!
Kiukweli hata mimi sijui hiyo lugha sana, ila baba anaendelea kunifundisha na ni lugha ngumu kwangu, Lakini ina kladha yake hivi! Naamini siku ya Party mliongea sana na ndio maana nilipokuja kumchukua tayari alikua kachangamka sana nikajua lazima atakuwa amekutana na ndg zake. Au post kwa Lugha hizi mbili, Kiswahili na KIZULU, atafurahije?! kuna siku alikutana na kaka yake mmoja kule Arusha (UN) wa huko kwao, asilimia 50 ya kila kitu ilikuwa ni hicho KIZULU chao.
Mpostie kwa kizulu uone kazi. Anaweza akapunguza idadi ya marafiki zake na wewe ukapewa kipaumbele kwa kila kitu.
Usije shangaa White Party ya mwakani baadhi ya warembo wa JF wakajipamba namna hii..........
Watapendezaje....!
Hebu amu, Paloma, cacico, Madame B, gfsonwin, Jeska, lara 1, marejesho, mwaJ, nivea, Lisa, snowhite, Kipipi, Smile, Asnam, Neylu kujeni pande hii mumuoane mwenzenu alivyotokelezea....... LOL