Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,742
- 7,431
Au ile kauli yake ya juzi kuhusu ile performance ya Diamond MTV base ndio imemponza.
Wanajiua wenyewe taratibu kwa vinyongo na beef zisizo na maana ,nimeona Majizzo kaposti kwenye page yake ya Instagram.
Clouds kwisha habari yake, hii media Ruge Mutahaba pekee yake ndio alikuwa anaiweza tutasikia mengi Sana

