Lexus SUV
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,426
- 5,496
Ohh kumbe yeye basi sawaaa ...aseee wana jukwaa habari zenu !!!!!!!
nimekuja hapa kwa shida moja tuu asee ....nmetokea kumpenda huyu manzi sasa dah shida kumpata...yaani tabuu.....so mwenye namba ake basi au anayefahamiana nae anisababishie aseee maana nina pesa zaidi ya MO hapa sasa nataka nkazizike kwa huyu manzi mwenye ngozi nyororo ka ya manzi wa ki ngarenaro ...........
Hints...kama inakuboa pita pembeni ..tuache sisi na hela zetuu...