Tetesi: Hamisa Mobeto kuwania ubunge Kinondoni kupitia CCM

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Halo JF siasa.

Wimbi la wasanii kuonesha vipaji vyao vya uongozi linazidi kujidhihirisha. Kuna habari za chini ya kapeti kuwa mrembo wa haja nchini, Hamisa Mobeto anataka kuwaakilisha Wanakinondoni bungeni. Inadaiwa anaungwa mkono na baadhi ya wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Dar es salaam.

Mheshimiwa Hamisa amepanga kuutokomeza biashara ya madawa ya kulevya, ukahaba, wizi na vitendo vingine vya uhalifu. Pia amepanga kuboresha miundombinu, elimu, Afya, maji, usafi wa mazingira, kupunguza kelele nk.
 
Ina maana yule mbunge wa sasa aliye unga mkono hatoshi?

In God we Trust
 
Kinacho hitajika ndani ya chama chetu ni mbunge tu
Hao wasanii baadhi yao wanajiona wanauwezo wa kuongoza lakini sidhani kama kweli wanauwezo huo

Sent from my iPhone using JamiiForums

In God we Trust
 
Back
Top Bottom