Yani unamuwekea mtoto habari mbaya sana kwenye public.
Kila mtu anajua mtoto huyu baba n amama yake wana beef.
Mtoto mwenyewe anakua katika beef la baba na mama.
Nimegundua western societies zina high divorce rate, lakini watu, hususan waliosoma, washaweza kuishi vizuri baada ya divorce. Yani hata kama si best friends, ila ule ujinga ujinga wa kusemana vibaya waneushinda.
Yani ukimsema ex vibaya hivyo unajisema hata wewe ni mjinga kwa kukubali kuzaa na mtu huyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.