Tetesi: Hamisa kanyang'anywa mtoto na Majizo!!

Wakawaida Sana Na Huo Mnyoo Wa Nywele Inaonyesha Jinsi Gani Wanamuandaa Kuwa Kahaba Wa Baadaye.Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo
 
Huyu bnt atakuja jkuta hana ktu mwsho wa sku. Mwache aendekeze masocial media.
 
hivi mnaomsema Hamisa

huyo diamond ana tabia njema gani?
huyo zari ana tabia njema gani?
huyo mama diamond ana tabia gani njema?

acheni kumpiga mawe mtoto wa watu!!!
hawezi kuamua vita ya panga kwa fimbo.
unapoamua kukimbizana na vichaa lazima ujitoe ufahamu!!
hio familia ya madale bila dongo juu ya dongo huwezi ishi nao!!!!
kila siku wao wanamwaga mboga, sasa wamepata wa kumwaga ugali!!!
huyo zarina juzi tu katoa live video anamdiss hamisa, kwahiyo yeye ndio mwema????

muacheni hamisa mimba hakujibebesha mwenyewe!! mtt ana baba yule mwacheni am-take care!!!!
Ndo washauri wa Hamisa hawa!

Hivi kwa akili yako ulitarajia kabisa kuna mwanaume aliye tayari kuachana na mwanamke aliye committed nae simply because amezaa nae?!

Ujinga kama sio upumbavu wa Hamisa ni pale alipotaka hadi Instagram wajue kwamba amezaa na Diamond wakati at family level tayari walishakubali hilo suala!

Hoja yako ingekuwa ya msingi endapo Diamond angekuwa amemkana Hamisa lakini hakumkana.

Diamond alikubali na alikuwa ana-take responsibility! Familia ya Diamond na wenyewe hawakuwa na namna so long as Diamond keshakubali! Sasa wewe kama mwanamke, what else ambacho ungehitaji?! Hadi akina Mange wajue kwamba amemkomesha Zari?!

Ni kutokana na huo ujinga ndio maana hata akina Bi. Sandra wakamgeuka na kumuona adui wakati zamani walikuwa pamoja nae!

Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini huyo Bi. Sandra awe against Hamisa hivi sasa wakati zamani walikuwa vizuri?

Kama ulitarajia kuna mama ambae angesimama pamoja na mwanamke anayeonesha wazi anataka kuvuruga familia ya mtoto wake then una safari ndefu ya kujifunza!

Ndio maana nmekuuliza
huyo diamond ana mema gani? kuzaa nje ya main chick tu sio jambo jema...means una mahusiano yaliyokomaa na mtu nje mpaka umezaa...

bi sandra kutwa IG anarusha madongo ,kwahyo ndio mwema

kila mtu ana mapungufu yake ,msimuelemezee hamisa ubovu wote.
hivi tulivokua hatujui kuwa kazaa na mond watu walikesha kumtukana binti wa watu miezi... Hana nyongo? yy bikira maria?

kuna leo na kesho kaka/dada kama asingeweka wazi ana mtt wa nje, ndugu zake wengine wangekubaliana na hilo swala?
lkn kwa sasa lazima afanye majukumu kama baba, amlee mwanae kama watt wake wengine ,huo ndio uwanaume ambao umeyamwaga mambo lazima uyazoe!

hatusemi hamisa anafanya mazuri, Idgaf about her
lakini sipendi kuona mnamuona yeye ndio mbaya sana.. mnasahau kuna mbebesha mimba,kuna ndugu waliolijua hilo....
kama wabaya n wote sio yy pekee!!!
 
Huna tofauti na Hamisa Mobeto. Akili sawa. Moja ya hatari zilizopo kwenye dunia hii ni kuwa na wanawake type yako
 
Aisee !
Hicho kitoto Miaka 20 ijayo atakuwa Kama sio DC Basi Mbunge wa Viti Maalum chini ya Utawala wa kina Kikwete wa baadae!
Au atakuwa Wema wa baadae akimsaidia 'mwenyekiti' wa upinzani na kiongozi wa bunge wa baadae !
 
Dada etu.. Ana bahati ya kuzaa na wenye vijisent.
Tatizo Dada etu. Mshauri wake mange.
Angekuwa Ana mkimbiza mwizi taratibu.
Kwa majay yupo. Kwa diamond yupo. Anakula huku na huku.
Watoto ndo ngao yake.
Siku akimwambia diamond Dylan anaumwa njoo nyumbani. Diamond atakataa?
Akija diamond anampa penzi Zito. Unafikiri diamond atamkumbuka zari?
Da Mange mbona ndo mshauri wa Bavicha !
 
Back
Top Bottom