Hamis Taletale: Neno Rais litumike kwa Rais wa nchi na si wengine kama TFF

Huyu mtu angekua na uelewa wa jinsi gani Rais wa nchi anakua Rais wa nchi angetoa hii hoja?

Nashauri mbunge ambaye hana elimu kuanzia shahada aende kwenye mafunzo ya lazima ya logic, maendeleo na sheria kwa gharama zake mwenyewe.kwa mwaka mzima.

Tutasaidia hata vyuo vyetu kujiendesha kwa ada za hawa watu
 
Mungu ni cheo na bado kuna miungu wengi ?
 
Waliojukuu tu ndio wanafaa kuitwa 'Babu'. Hawezi mtu mpuuzi mpuuzi akaitwa babu.
 
Yuko sahihi kabisa, mbona kuna watu wanataka Zanzibar uwe mkoa wakati wanajua wazi ile ni nchi kamili, saaafi babu tale
 
Upuuzi mtupu unamuondoa Heche, Msigwa, Lema, Zitto n.k unampitisha Babutale bila kupingwa.
lengo ni ajenda ya kuongeza Muda wa urais bila kikomo ikose wabunge wenye uwezo wa kuhoji, na ipite bila kupingwa
 
Ndo shida ya kupeleka wataalamu wa kuloga kwenye muziki bungeni.

CCM wanalipa hili taifa ulemavu wa kujitakia kabisa..it's about time kipatikane chama kinachojielewa kichukue nchi maana hata CHADEMA wamekosa agenda kwa sasa na pia wana structure mbovu.
 
Hajalala week nzima anafanya rehearsal ya hii point ujue, halafu alikua anavuta picha jinsi kesho ATATOKELEZEA Page ya Mbele ya UHURU na Milard Ayo
Huyo Babu Tale, kama angaelijua kuwa kuna hata Rais wa mchezo wa Bao yule ambaye hupenda kuonekana ktk kipindi kile cha ITV superbrand alhamisi usiku, sijui sasa angefanyaje??? Wananchi wake wana kaazi kwelikweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…