ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 13,764
- 27,129
My deepest condolences kwa jimbo la Morogoro vijinini kupata mbuge kilaza
Mungu ni cheo na bado kuna miungu wengi ?
Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu kina vumbi tunatakiwa tuheshimu, ndiyo maana mimi nilijiita Babu"- Babu Tale.
Chawa wa Mwendawazimu huyo..😂Ndiyo akili yake imeishia hapo
Yuko sahihi kabisa, mbona kuna watu wanataka Zanzibar uwe mkoa wakati wanajua wazi ile ni nchi kamili, saaafi babu tale
Nchi yetu ina Rais mmoja tu Samia Suluhu, ningeomba hizi Rais wa shirikisho au TFF zitoke, wawe na vyeo vyao. Wanapunguza heshima ya neno Rais, unakuta mtu ana vumbi, Rais hawezi kuwa na kiatu kina vumbi tunatakiwa tuheshimu, ndiyo maana mimi nilijiita Babu"- Babu Tale.
lengo ni ajenda ya kuongeza Muda wa urais bila kikomo ikose wabunge wenye uwezo wa kuhoji, na ipite bila kupingwaUpuuzi mtupu unamuondoa Heche, Msigwa, Lema, Zitto n.k unampitisha Babutale bila kupingwa.
Hapo mwache Zitto na Heche! Msigwa na Lema walewale tu, hawana tofauti na TaleUpuuzi mtupu unamuondoa Heche, Msigwa, Lema, Zitto n.k unampitisha Babutale bila kupingwa.
Huyo Babu Tale, kama angaelijua kuwa kuna hata Rais wa mchezo wa Bao yule ambaye hupenda kuonekana ktk kipindi kile cha ITV superbrand alhamisi usiku, sijui sasa angefanyaje??? Wananchi wake wana kaazi kwelikweli....Hajalala week nzima anafanya rehearsal ya hii point ujue, halafu alikua anavuta picha jinsi kesho ATATOKELEZEA Page ya Mbele ya UHURU na Milard Ayo