Hamis Mgeja afagilia Edward Lowassa

Hamis Mgeja afagilia Edward Lowassa

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
830
Reaction score
91
Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga amemfagilia Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiuzulu Mh Edward Lowassa.

Mgeja aliyasema hayo juzi huko Kahama wakati Mh Lowassa akiendesha kampeni ya uchagiaji wa shule ya Anglicana.

Mgeja amesema watu wanaomsema vibaya Lowassa kwa kuendesha harambee mbalimbali wanaweweseka na kivuli chake!!

Source: Mwananchi Leo
 
Lowassa kila anapofika mkoa wowote ule hapa Tanzania hupata mapokezi ya heshima kutoka kwa viongozi wa Serikali, Chama, Dini na Jadi!!

Na kila Harambee aifanyayo huvuka lengo lililowekwa, na hapa ndipo HASIRA za wabaya wake zinapoanzia!!

Mfano:- Harambee ya Saccos ya waalimu Moshi Vijijini, alisimama ikapatikana 1.5 Bill.
LAKINI- Mh Membe alialikwa huko huko Moshi, wiki moja baadaye kuzindua album ya Kwaya akaishia kutuma mwakilishi wake..
 
Hamis Mgeja ni mtu anaejiamini, Tangu 1995 alimtangaza Jk kuwa ndie mtu anaemuunga mkono hakumung'unya maneno, Katika kumuunga mkono Lowassa Pia hajivungi au kuongelea nyuma Ya Pazia. Huyu ndie aliewakutanisha Jk na Lowassa watu walipojaribu sana kuwagombanisha kwa kuchochea uongo
 
huyu mzee na wanae ni pumba tupu. hapo anasafisha njia ya mwane kugombea ubunge 2015. fisadi na mtoto wa fisadi wana roho mbaya kama wauza sumu vile.
 
huyu mzee na wanae ni pumba tupu. hapo anasafisha njia ya mwane kugombea ubunge 2015. fisadi na mtoto wa fisadi wana roho mbaya kama wauza sumu vile.

Mwanawe hana mpango na siasa za Bongo kama Riz1!! Yeye ni mfanyabiashara.

Usipende kusema UONGO hapa JF!
 
mi mwenyew namkubali lowassa,yaan bureeeeeee,huyu mgeja humwambii chochote kuhusu el,el anamhesabu ni sehem ya familia yake,hata mama regina anatambua hilo
 
siasa za kujitengenezea ulaji kwa kizazi chake huyo

mkuu lakin mgeja si mnafiki yuko radhi kusimamia kile anacho kiamini,ni mtu ambaye akiamuw kukupgania unafiki kwake mwiko,ci unakumbuka kipnd kile walitaka kumtimua na bado akaonyesha msimamo wake,mi namshaur tu afnye mazoez ya tumbo,manake el akija kuingia magogoni ampe pande nadhn litapasuka
 
mi mwenyew namkubali lowassa,yaan bureeeeeee,huyu mgeja humwambii chochote kuhusu el,el anamhesabu ni sehem ya familia yake,hata mama regina anatambua hilo

Sio Hamisi Mgeja tu, bali kuna makada wengi sana wanamkubali Mh Lowassa!
 
Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga amemfagilia Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiuzulu Mh Edward Lowassa.

Mgeja aliyasema hayo juzi huko Kahama wakati Mh Lowassa akiendesha kampeni ya uchagiaji wa shule ya Anglicana.

Mgeja amesema watu wanaomsema vibaya Lowassa kwa kuendesha harambee mbalimbali wanaweweseka na kivuli chake!!

Source: Mwananchi Leo
Binafsi sioni kama EL anakosea kuchangia makanisa maana na yeye ni muumini wa makanisa hayo
Ila sijui kama anatoa michango hiyo kama sehemu ya kampeni au la,lakini kama ni sehemu ya kampeni bado ni vyema
maana ataisaidia ccm kuondokana na nape aliyemtangaza nchi nzima kuwa ni gamba afu ccm hiyo hiyo imchague EL kuwa mgombea wa urais.
Na ikitokea EL akawa rais,nadhani kuna uwezekano wa baadhi ya watu ndani ya ccm kujitangaza kuwa waamiaji haramu ili wasaidiwe kuihama nchi.
 
Back
Top Bottom