HAMIS Kigwangalla: Jana Rais Kikwete aliniachia kiti, nikakaa na marais wengine. Can u belive that?

Sasa inamaana yeye alikuwa hajui kama misafara ya nje JK huwa anakwenda kwa ajili ya shopping? hii mbulula nayo kuachiwa kiti kwa masaa anaona dunia nzima yake!! Mnyamwezi mpuuzi kweli huyu.
Hahaha, mda simrefu utamsikia kingwangwala naye akisema nikiombwa kugombea urais ntagombea ila mda ukifika ndio ntasema sawasawa hii nchi bwana kila anayepevuka anataka kwenda magogoni tunakazi sana.
 
Kwenye ukweli tusiwe wanafiki tuseme kweli hata kama unaona wivu ila ni vyema ukasimamia kweli.
Narudi kwenye mada Raisi uwekwa na Mungu hivyo JK Raisi wetu akisifiwa kwa kazi anayofanya wewe raia inakuuma nini wakati unakula kunywa na kunya kwa amani alafu badala umshukuru Mungu na kuzidi kumuombea raisi wetu wewe unakunya maneno wakati upo humu humu Tanzania na JK ndio raisi.

Kigwa keep it up wasioruhusu vichwa kupambanua hawawezi kukuelewa...
 
Kwa hiyo wewe ndo unajiona unajua au unaakili sana??. Huna adabu, kutokana na maandishi yako, na hii ni shida ya shule za kata!.
Ona hii akili ndogo inaikosoa akili kubwa....!!!!!!!!!!!!! Kwanza unapaswa ujue hizo shule za kata aliyezianzisha ni huyo baba yenu M/Kiti wa Magamba, hivyo kuzidhihaki ni sawa na kumpiga ngumi baba yako! Naona kwako hili sio tatizo kutokana na aina ya malezi uliyopewa! Lakini pili, kama mimi nilisoma shule ya kata haiyumkini kuwa wewe hukuwahi kusoma hata ngumbaru achilia mbali U.P.E!
 
Mimi najiskia vizuri sana katika nchi yangu na raisi wangu maana ni nchi ngapi zinatamani kuwa kama tz lkn hawawezi me naomba stress zetu tusiziweke kwa rais wetu tuwe na shukrani mbele za Mungu maana hii amani sio sisi tumeiweka ila ni yeye aliye juu na ni yeye kamuweka JK as president so na yeye kama anataka tuwe na raisi mwengine ataweka maana sisi ni watu wa Mungu.
Hivyo wanandugu tuwe na kiasi na kushukuru.

TUjifunze kuwa na kiasi hamwezi amini majukumu aliyonayo JK anapaswa kuombewa kwa Mungu maana anamajukumu makubwa sana.
 
Tanzania kweli nchi ya maajabu! Mhe. Rais alimuachia Kigwangallah Kitu! Hivi Benard Membe (waziri wa foreign affairs) au other Ministers walikuwa wapi? Jamani wataalamu wa Protokali je hii inakubalika?! Salva Rweyemamu uko wapi? tunaomba ufafanuzi maana wewe ni member wa JF

Baada ya kukuachia kiti ni kitu gani cha maana ulichochangia? Sitoshangaa kama Mhe. Kigwangallah naye kama ataanza kupokelewa na RCs na Dcs kila aendapo na kusomea shughuli za maendeleo kama Riz1. Tumeyataka wenyewe!
 
Watu bwana umakini unauongelea ni wa kukuachia kiti?
Let us know what was your mission and what have you accomplished uko Japan so far kwa ajili ya Tz atleast apo inaweza make sense then utuambie izo stori.
Kumbuka ni kodi zetu zimekupeleka uko mlisho nyuma ni muhimu!
 
Ona hii akili ndogo inaikosoa akili kubwa....!!!!!!!!!!!!! Kwanza unapaswa ujue hizo shule za kata aliyezianzisha ni huyo baba yenu M/Kiti wa Magamba, hivyo kuzidhihaki ni sawa na kumpiga ngumi baba yako! Naona kwako hili sio tatizo kutokana na aina ya malezi uliyopewa! Lakini pili, kama mimi nilisoma shule ya kata haiyumkini kuwa wewe hukuwahi kusoma hata ngumbaru achilia mbali U.P.E!

Kweli kubishana na mjinga na wewe unakuwa mjinga, bora niachane na wewe kilaza aka mjinga manake unanipoteza muda tu na fallacious comments! Shame!
 
Kweli kubishana na mjinga na wewe unakuwa mjinga, bora niachane na wewe kilaza aka mjinga manake unanipoteza muda tu na fallacious comments! Shame!
No, usitukane. Wewe jibu hii hoja, au akili zako ni za kuazima na anayekuazima yuko Japan unamsubiri mpaka arudi?

"Ona hii akili ndogo inaikosoa akili kubwa....!!!!!!!!!!!!! Kwanza unapaswa ujue hizo shule za kata aliyezianzisha ni huyo baba yenu M/Kiti wa Magamba, hivyo kuzidhihaki ni sawa na kumpiga ngumi baba yako! Naona kwako hili sio tatizo kutokana na aina ya malezi uliyopewa! Lakini pili, kama mimi nilisoma shule ya kata haiyumkini kuwa wewe hukuwahi kusoma hata ngumbaru achilia mbali U.P.E!"
 
Naona aliamini ni Rais wa Tanzania kwa muda huo! Mambo mengine wala si ya kuandika kwenye facebook na kujisifu. Hajatuambia aliachiwa kama nani? Hivi na Rais kumuachia huyu jamaa ina maana aliondoka na mawaziri alioenda nao au hakwenda na waziri hata mmoja?

Mkuu, hapo ndipo naanza kujua udhaifu wa wawakilishi wetu kwenye mikutano ya kimataifa. Kukosa la kuchangia baada ya kufanya utafiti! Ama ni kilaza au ni kujipendekeza ili amwoneshe rais ana 'point' zaidi yake. I am shocked, really i am. Naamini nchi ina wawakilishi wa kisekta walio bora na kustahili zaidi yake
 
Kigwangala vipi tena, umeshastukia watu wa nzega hawakutaki tena, unaanza kutafuta msaada wa vigogo wa chama wakusaidie tena 2015 kama walivyofanya 2010, safari hii bashe hakubali, ikibidi atavaa gwanda.juzi tu ulikuwa unamfagilia kinana
 
Majibu ya swali lako haya hapa ''''
Mhe. Rais Jakaya Kikwete ni mtu makini sana. Leo nimeamini nabii hakubaliki kwao, ninaamini ata. Amenifanya nimejisikia proud sana leo kwenye mikutano mitatu niliyoshiriki pamoja naye, yeye akiwa panelist na marais na watu wengine mashuhuri duniani. Kauli yake ya kwanza ni namna alivyosema kuwa tunawaalika wawekezaji kwenye kilimo siyo wachukue ardhi ya wazawa bali wawe chachu ya kukuza uzalishaji wa wazawa wanaowazunguka through outgrower schemes. Alisisitiza hili kwa nguvu sana akisema 'not with me, my grandparents and parents will punish me if I do allow land grabbing from small-holder farmers because I am from the same history and lifestyle...even if they are dead still I fear them'...hadhira ilishangilia kwa maneno haya, na wengine walimpa heshima ya standing ovation. Aliyasema maneno haya mbele ya mkutano wa kilimo na lishe akiwa kwenye panel na Waziri Mkuu Mstaafu wa Japan, Mhe. Yoshiro Mori. Pia, Mhe. Rais Kikwete alifunika hadhira kwa namna alivyoelezea suluhisho la tatizo la ajira kwa vijana pamoja na mikakati iliyopo ya kuongeza ajira na kukuza uchumi. Nilipanga kuchangia lakini baada ya hotuba nzuri ya Rais wetu, niliamua kunyamaza, maana alinifilisi hoja zangu zote, japokuwa kabla ya hapo niliamini nina mchango mzito kwenye jambo ukizingatia nimelifanyia utafiti wa kina na kwa muda mrefu na ni jambo ambali ninalitafutia suluhu kwa vitendo - c.f. Hoja yangu binafsi kwenye Bunge la Februari''

mwisho wa kunukuu source- facebook wall ya kigwangala

Swali la msingi la kumuuliza. Alienda ziarani ughaibuni kama nani? akimwakilisha nani? Alichangia nini cha maana? Rais alienda wapi wakati akihitajika mkutanoni? Kumshangilia mtu inaashiria kukubalika pekee? na nini maana yake? Na mwisho, je wewe ni mwandishi wa habari wa ikulu?
 
Jk ndio IMAGE ya morden africa, hata wakoloni wetu wanamkubali, hawamchukulii poa kama maraisi wengine na neno lake linawakilisha africa
 
huo ushamba hamisi.sema umefurahi kuiona japan na kukaa kwenye five star hotel.zitto kakutana na kukaa na viongozi kibao lakini hakujisifu.:nod::nod:
 
Back
Top Bottom