mkoani geita Wilayani mbogwe uhuni,ukatili na usanii vnaendelea kufanyika.Jana wamewatimua wanasemina eti kisa ni warund,kwa vgezo wamezaliwa tz,wamesomea tz na wanaish tz,vyet walikaguliwa na maafisa usalama na jopo la viongoz ngaz ya wilaya na waka qualify mafunzo.Jana siku ya 8 kwa dodoso refu wanatimuliwa!Cha kushanganza jana et tukapewa ka elfu 70 but hbq ndo hyo!