Robert James Masunga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 414
- 396
mashariki ya kati...
kundi la hamas lenye kutawala ukanda wa gaza limetoa waraka mpya unaotambua mipaka ya palestina ya mwaka 1967. waraka huo ulioandaliwa kwa takribani miaka miwili unalipambanua kundi la hamas kama lenye sura mpya na mrengo wa kisiasa zaidi kuliko kidini. baadhi ya dondoo katika waraka huo:
*hamas hawatambui uwepo wa taifa la israel
*adui ni israel na uzayoni, siyo wayahudi
*jerusalem ni haki ya kudumu ya palestina
*waraka haujasema chochote kuhusu kundi la kigaidi la muslim brotherhood ambalo ndiyo lilizaa hamas na katika waraka wa hamas wa mwaka 1988 muslim brotherhood limetajwa mara 6
kwa upande mwingine jirani Israel anasema hamas wanahadaa jumuia ya kimataifa kutaka huruma.
Aljazeera