Hamas yasema hawana hao mateka 40 wanaotakiwa. Kosa la nani

Kama mumewaua sasa mjiandae kipigo maana mtakua hamna kete nyingine, mlikua mnatumia mateka kama namna kupata kusikilizwa.
 
Sasa shauri yao Hamas kama hao mateka wameyeyuka, watavuna jeuri yao. Mazayuni hawana huruma wala hasara tena, ni mwendo wa kipigo tu.
ni swala la mda tu raia wa israel watamuua nyetanyahu kwa mikono yaokwa kuwaualia ndugu zao waliotekwa kule GAZA,pona yake ni ku resign na kuwekwa kolokoloni...hataki basi kabla krismas benjamin atakuwa mwendazake
 
Acha urongo raia wa Gaza wanalalamika kila siku na wamekatishwa tamaa na Hamas kutotaka vita isimame.. aljazeera siku walibugi kumhoji mzee ambaye hawajampanga ilikuwa live akawaponda Hamas aljazeera wakakatisha kumhoji..

Ukiona mtu anahojiwa ni maigizo ya same people Hamas ndio maana yamejaa Kila hospital.. hata ingekuwa Tanzania kubomolewa nyumba yangu na adui alfu niichekee jwtz sababu za kutotaka kuachia mateka wa Adui.. kamwe ukishashindwa umeshindwa tu una Surrender kuokoa raia na sio ubishi wako wa kipuuzi
Ndugu hata Israel pia Kuna watu wanamlaumu waziri mkuu kwa kushindwa kuwapata hao mateka hadi leo.
Wengine wanadai malengo ya vita yameshindwa,vita ikome.
The same ukienda Urusi pia Kuna watu wanapinga vita na Ukraine.
Cha ajabu zaidi wapo watu Ukraine wanailaumu nchi yao kwa hatua zake za kutaka kujiunga na NATO ndio zimeleta zahama.
Uki-dili na jamii yoyote huwa hakuna uungwaji mkono wa asilimia mia!
 
Watu wa Gaza wana ushirikiano wa kizalendo wa hali ya juu sana na kuheshima mamlaka ndio maana wanauliwa lakini hakuna malalamiko kwa Hamas.Wanajua sababu ni ukatili wa Israel.
Sasa hao mateka hata walioteka wanaweza kuwa ni familia iliyo na uchungu juu ya ukandamizaji wa Israel, inateka halafu wanatoa taarifa kwa Hamas kwamba na wao wana mateka.Hamas wanaweka kwenye kanzi data yao.Siku wakwataka baada ya vigezo kutimia wanawafuata na kuwaomba kwa wanaowashikilia.
Sasa katika hali kwamba mabomu yamepigwa bila kizuizi inawezekana hata Hamas wamepoteza mawasilaiano na watu waliokuwa wamewashililia na huenda wamekufa wao na mateka wao.
Screenshot_20240408-193421~2.png
 
Kama kwamba Israel imewaua yenyewe halafu inawadai.Ni hadithi ya mwanakondoo na fisi.
Aliye wambia wawateke nani huku wanajua wanacheza na moto!
Kanga walio chums wanakula na watoto wao
 
Acha urongo raia wa Gaza wanalalamika kila siku na wamekatishwa tamaa na Hamas kutotaka vita isimame.. aljazeera siku walibugi kumhoji mzee ambaye hawajampanga ilikuwa live akawaponda Hamas aljazeera wakakatisha kumhoji..

Ukiona mtu anahojiwa ni maigizo ya same people Hamas ndio maana yamejaa Kila hospital.. hata ingekuwa Tanzania kubomolewa nyumba yangu na adui alfu niichekee jwtz sababu za kutotaka kuachia mateka wa Adui.. kamwe ukishashindwa umeshindwa tu una Surrender kuokoa raia na sio ubishi wako wa kipuuzi
Ukweli na haki daima havifichiki hata ikichukua muda.
Nakwambia ingekuwa watu wa Gaza kweli wengi wanaipinga Hamas basi wala wasingeweza kutawala na tangu vita vianze wangekwishaparurana.
Na aljazeera sidhani kuwa ina uwezo wa kuzuia hasira za watu kwa kumkwepa mzee huyo asiseme alichonacho.
kama unafuatilia vizuri watu wa Gaza hata kama wana kitu dhidi ya Hamas basi ni kidogo sana kuliko wanavyoichukia Israel.
Idadi kubwa wanaohojiwa na wanashuhudia vifo vya ndugu zao na uharibifu wa mali basi huwa wanamshukuru Mungu na halafu wanailaani Israel na si Hamas.
Mwezi uliopita Israel ilifanya jaribio la kuwakosanisha Hamas na watu wao kwa kuanzisha vikundi vya kupokea maagizo kutoka Israel.Hilo zoezi lilifeli mia kwa mia.
 
waislam mna akili ndogo sana , mnasahau mapema sana , mateka hawa walipotea oct 7 , sijui kama wapalestina waliivamia gaza na kila mtu kuondoka na mateka wake hadi nyumban kwake bila kuwa under hamas arrangement

Uislam unapambana kuwapumbaza akili ili uwatumir kwenye ugaidina kujilipua
Nyinyi mnaoabudu Mungu aliyedundwa usiku kucha na yakobo mna akili sana
 
Back
Top Bottom