Hamas yaionya israel

Hamas yaionya israel

Acheni chuki za kidini, zipo nchi kama iran hutangaza hadharani ya kwamba Israel kwa maana ya waisrael hawapaswi kuwepo, na huenda mbali zaidi kwa kuwatangazia wananchi wao wenye ujazo wa kutosha wa dini vichwani kuwa wanafanya mikakati ya kuifuta israel kwenye ramani ya dunia na wananchi wao wakaitikia kwa bashasha na vibwagizo vya kidini.

Hapo ndipo haki ya kujilinda huchukua nafasi yake kwa upande wa israel.

WAARABU WAKUBALI UWEPO WA ISRAEL NA WAFUTE NDOTO NA MAFUNDISHO HASI DHIDI YA ISRAEL NA WAKIYAISHI MANENO HAYO PATALETA KAMWANGA KA AMANI.
Israeli haiwezi kutambulika km taifa.
Hawa ni wahamiaji haramu wizi wa Ardhi za watu.
Hapo hapatokalika salama mpk Mwisho wa Dunia hii.

Kulifahamu Hilo wala halihitaji kuwa msomi.
Wao wakimwaga ugali Hamas wanamwaga mboga.
 
Hamas wametoa vitisho cha kushangaza wanapigana style ya insurgence na kutumia human shield kama defence
 
Back
Top Bottom