Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Harakati Ya Wananchi Wa Palestina Hamas Imeuonya Utawala Wa Kizayuni Wa Israel Kuwa Utakabiliwa Na Jibu Kali La Kijeshi Kutoka Kwa Hamas Endapo Israel Itaanzisha Mashambulizi.
Hamas Imeyasema Hayo Kufuatia Baadhi Ya Wanasiasa Wa Israel Kutaka Kuanzisha Mashambulizi Gaza Ili Waweze Kushinda Uchaguzi Wa Mwezi March Nchini Israel.
Hii Ni Katika Hali Ambayo Mfumuko Wa Bei Israel Na Kuongezeka Maradufu Kwa Ughali Wa Maisha Kutokana Na Uchumi Kudorora.