Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,774
- 7,496
ANGALIA IDADI YA WAYAHUDI WALIOPO KATIKA HAYA MATAIFA USA,EUROPE NA RUSSIARussia anaogopa sana ugomvi na wayahudi. Maana wale watu ukianza nao mgogoro unakuja kujikuta ndani ya nchi yako watu wanakukimbia Maana mapandikizi wa Israel wapo wengi sana Russia
Jewish population by country - Wikipedia