Hamas wanaishi kama digidigi

Hamas wanaishi kama digidigi

Wanaosapot israel wote makafiri tu hawawezi kuifuta palestine hata aje baba yao USA

Mbona amerika ameshamsaidia sana + silaha zake nzito alizonazo na mandege + Helicopters lakini mpaka wa leo ameshindwa vita! Na Hawa wote wanaomuunga mkono israel wataingianao jahannam.
 
Mbona waislamu mnaanza uchokozi wa kuirushia israel maroketi kwa mbwembwe kujimwambafai mnayaweza mkizidiwa mnajicha kwenye na chaka LA dini na Allah nakupaza sauti mnaonewa mara Free Palestine
 
Waislamu wapi wacha kugeneralise na ujinga unaofundishwa kanisani kwamba israel ni wakristo uliona wapi waislamu wakapigania ujinga kama huo hapa tunaongelea wapalestine among of them kuna wakristo na dini nyingine

Mnachuki za wazi kama wewe choko
 
Wamekufa viongozi wa hammas na Islamic jihad 33 na magaidi 150 wa hammas wamekufa miundo mbinu yao ya chini ya ardhi km 100 imeharibiwa
Hio kawaida ipo tokea 1947, ww unaona leo hayo mambo? Wamechukuliwa Ardhi yao ww unasema kuhusu kufa na magorofa, kufa wameshauliwa zaidi ya hao
 
Mbona waislamu mnaanza uchokozi wa kuirushia israel maroketi kwa mbwembwe kujimwambafai mnayaweza mkizidiwa mnajicha kwenye na chaka LA dini na Allah nakupaza sauti mnaonewa mara Free Palestine
Ww mgonjwa wa akili kichwa chako kimejaa taka na mafunza yakitimoto, hufaham ata mgogoro wa Palestinian umeanzaje, sasa pimbi kama ww unafkiri nibishane na ww kwa upupu unaoandika humu
 
Mbona amerika ameshamsaidia sana + silaha zake nzito alizonazo na mandege + Helicopters lakini mpaka wa leo ameshindwa vita! Na Hawa wote wanaomuunga mkono israel wataingianao jahannam.
Anza ombea kheri Waafrika wenzako falah mmoja wewe. Congo, Nigeria na TZ hapa watu wanasota mnashindwa ombea kheri ila busy na Waarabu...
 
Ww mgonjwa wa akili kichwa chako kimejaa taka na mafunza yakitimoto, hufaham ata mgogoro wa Palestinian umeanzaje, sasa pimbi kama ww unafkiri nibishane na ww kwa upupu unaoandika humu
Vipi ulikuwa unawasifia Iran walijifanya kuingiza vidrone vyao Israel wakavifekelea mbali na Lebanon wamerusha viroketi vyao israel ikavijibu kwa mashambulizi vizuri
 
Hio kawaida ipo tokea 1947, ww unaona leo hayo mambo? Wamechukuliwa Ardhi yao ww unasema kuhusu kufa na magorofa, kufa wameshauliwa zaidi ya hao
Hivi unaweza kuniletea Historia ya taifa lililowahi kuitwa Palestine lilianza mwaka gani na mfalme wao alikuwa nani na lugha yao iliitwaje na watu wake waliitwaje kabla ya kuporwa ardhi zao na Israel walishawahi kuwa na taifa lililoitwa Palestine
 
Hio kawaida ipo tokea 1947, ww unaona leo hayo mambo? Wamechukuliwa Ardhi yao ww unasema kuhusu kufa na magorofa, kufa wameshauliwa zaidi ya hao
Hivi Palestine imetajwa hata kwenye Quran tukufu kulishawahi kuwa na Palestine ila israel imetajwa nashindwa kuelewa Israel anaporaje ardhi yake mwenyewe
 
Chuki tu zimewajaa kwa waislamu /waarabu. Waombee na wewe basi
Nani alikuambia wanao kufa Gaza ni Waislam tu?
Na nimezungumzia kuwaombea Nigeria, vipi hapa waislam hawafi mpaka niwachukie Waislam

Halafu kwanini mtu asiyeshabikia yanayofanywa hapo Gaza anaonekana ana chuki na Uislam?
 
Unatafuta ligi naona 🙂 wapo pia wakristo wanakufa huko palestina, but! Wengi wao ni waislamu na ni ndugu zetu pia katika imani المسلم أخو المسلم . Sasa unataka tusiwaombee na badala yake tuwaombee wa congo n.k!!! Hebu nijibu kwanza
 
Hawa ni wanaume halisi ambao kwa nguvu na Imani yao wameamua kupambana kuirudisha heshima ya taifa la Palestine ambayo imepotea baada ya kuingia kwa wakoloni wasaidiwao na Wamagharibi.

Taifa la Palestine ambalo lilikuwepo kwa miaka maelfu leo limegawanywa kwa wakoloni wa kizunguu wajiitao Wayahudi. Ajabu.!
Wapalestin wanakufa lakini bila kufa hakuna ukombozi.

Wakati wa mapambano ya ukombozi wa Afrika kule Msumbiji, Angola walikufa watu, damu ikachuruzika kila mahali, lakini Leo wako huru.
Piganeni.

Piganeni Wapalestina.
Katika historia ya mashariki ya kati Hakuna Taifa la wapalestina.
 
Unatafuta ligi naona 🙂 wapo pia wakristo wanakufa huko palestina, but! Wengi wao ni waislamu na ni ndugu zetu pia katika imani المسلم أخو المسلم . Sasa unataka tusiwaombee na badala yake tuwaombee wa congo n.k!!! Hebu nijibu kwanza
Hizi dini
 
Vipi ulikuwa unawasifia Iran walijifanya kuingiza vidrone vyao Israel wakavifekelea mbali na Lebanon wamerusha viroketi vyao israel ikavijibu kwa mashambulizi vizuri

Miaka yote hiyo wameshindwa vita dhidi ya wapalestina, je! Kwa Iran wataweza!!! Punguzeni au acheni kabisa kukaa vijiwe vya kahawa.
 
Hawa ni wanaume halisi ambao kwa nguvu na Imani yao wameamua kupambana kuirudisha heshima ya taifa la Palestine ambayo imepotea baada ya kuingia kwa wakoloni wasaidiwao na Wamagharibi.

Taifa la Palestine ambalo lilikuwepo kwa miaka maelfu leo limegawanywa kwa wakoloni wa kizunguu wajiitao Wayahudi. Ajabu.!
Wapalestin wanakufa lakini bila kufa hakuna ukombozi.

Wakati wa mapambano ya ukombozi wa Afrika kule Msumbiji, Angola walikufa watu, damu ikachuruzika kila mahali, lakini Leo wako huru.
Piganeni.

Piganeni Wapalestina.
Wakati wewe unawadanganya wenzako upo mwembe Chai unakunywa supu ya pweza au newala kwenye mshamba ya mpunga vita vya Sasa hivi sio kama vya Zaman watanganye wakufa wote ni bora watulie wajiulize wamekosea wap
 
Unatafuta ligi naona wapo pia wakristo wanakufa huko palestina, but! Wengi wao ni waislamu na ni ndugu zetu pia katika imani المسلم أخو المسلم . Sasa unataka tusiwaombee na badala yake tuwaombee wa congo n.k!!! Hebu nijibu kwanza
Sijakukataza kuwaombea mzee... nimeongeza list tu hapo, Waombeeni na wale wa Nigeria na Congo hilo tu. Maana wema huanzia nyumbani.

Ni kama vile BAKWATA walipo plan kufanya maandamano kwa ajili ya PALESTINA wakasahau kuwa kuna Masheikh wa Uamsho wanasota Jela kwa kesi za KUTENGENEZA na hawajawahi hata fanya maandamano ya amani kutaka HAKI ITENDEKE DHIDI YAO.
 
Kosa kubwa la hawa Parestina ( Wafilisiti kwenye biblia ) ni kuwalea hawa Hamas, Hamas ni kikundi cha kigaidi kama vilivyo vingine duniani.

Mwenyezi Mungu kupitia manabii wa kale aliwaambia waislaeli wawamalize kabisa wafilisi ili wasiwasumbue mbele ya safari, lakini waIslael wakawaacha kwa kuwaonea huruma hili ndilo tatizo sasa ambalo halitakaa liishe, hawakutii amri ya Muumba wao.

Kumbuka tu kwamba wakati wana wa Islael wanafika kaanani yaani nchi waliyopewa na Muumba waliwakuta Wafilisti ( Waparestina wa leo) wanaishi maeneo haya !! Kiini cha tatizo ndicho hicho.
 
Back
Top Bottom