Hamas executes 11 more Palestinians suspected of 'collaboration' with Israel

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
[h=2]Palestinian sources say nearly a dozen more Gazans executed following Israeli airstrikes which killed Hamas commanders in the Strip.[/h]
ShowImage.ashx

Hamas has executed 11 suspects in Gaza accused of collaborating with Israel, Palestinian sources reported on Friday.

In a sign of Hamas's increasing tight grip in the enclave following Israel's targeting killings of three of the group's senior commanders, nearly a dozen Palestinians were reportedly killed at the Jawazat installation in the Strip.

On Thursday, three other Palestinians suspected of collaboration with Israel were executed, according to Hamas-affiliated websites.

A senior Hamas security source was quoted as saying that those three, whose names were not released, were executed “after the completion of revolutionary procedures” against them.
 
Ninatoa wito kwa wote wanaotazama movements za kigaidi kwa macho ya makengeza wakaze mboni zao ili wapate ukweli. Hawa watu ni adui wa amani duniani kote kwa sababu wanaishi kwa kumwaga damu za watu. Na kwa sababu ya ushetani wao, hata sura zao hawataki zionekane ndiyo sababu ya kujifunika manguo meusi hadi machoni.

Kama mtu akisema Hamasi ni adui wa Israel peke yake, anatakiwa kuelewa vizuri kwamba hawa watu hawataki kukaa na mtu yeyote na hawataki amani mahala popote duniani. Hawana taifa wala mtu wanayempigania, ni watu wanaoshiba katiak damu za watu.

Tupat pia fundisho la kuingiza mambo ya dini hii kwenye katiba kwa sabbu sku zote wanakuja na lugha chanya kama kondoo ili wapate pa kuanzia. Hamasi kama ISIS, walianza kama watetezi wa wa palestine. Utetezi huo ukaingia dosari baada ya kuona Hamasi huyo anaweka vituo vyake vya kivia kwenye makazi ya raia ili awatumie kama ngao. Waplestina walioshituka kukataa kutumiw kama ngao, sote tunafahamu walivyopigwa na kuadhibiwa vikali. Wakiwa kama ngao, wameendelea kufa kwa vita bila ulinzi wowote. Bado sasa haitoshi hamasi ameanza kuwachinja Wapalestina kwa mkona wake mwenyewe kama vile ISIS, n,k.

Swlai la kujiuliza Hamasi anapigana na Israel kwa maslahi gani ya Wapalestina? Na baada ya Israel na palestina, nani ni next target?

Kwa unafiki huu na hila za hamasi kwa palestina, watanzania tunajifunza nini katika kulinda serikali yetu na wananchi wetu?

Ccm hii haitoshi kuwaonyesha kwamba kuingiza masuala ya kadhi kwenye katiba ni kudhoofisha usimamizi na nguvu ya sserikali juu ya masuala ya ibada na imani hatarishi? Ccm wanachokifanya ni sawa na kumpa chumba ndani ya nyumba mtoto wa cobra kwa kujifariji kwamba ni mdogo hatakuwa na madhara.

Nyoka ni nyoka na hata awe mdogo ana sumu na anakua.
 
DUNIA NA IFIKE MWISHO! NIMEONA MAMBO YANAYOTENDEKA HASWA KWA CHRISTIANS KIDS IN IRAQ!, NIMEJIULIZA KAMA BAADA YA HAPO HUWA WANAPATA USINGIZI WANALALA, NA KUWEZA KULA??? WAKIABUDU HUWA WANAMTAJA MUNGU HUYU HUYU NINAYEMTAJA MIMI AU WENZETU NI WAPAGANI??? for sure this world should really come to an end! whatever is happening is soooo inhuman!
 
Ninatoa
wito kwa wote
wanaotazama movements za kigaidi kwa macho ya makengeza wakaze mboni zao
ili wapate ukweli. Hawa watu ni adui wa amani duniani kote kwa sababu
wanaishi kwa kumwaga damu za watu. Na kwa sababu ya ushetani wao, hata
sura zao hawataki zionekane ndiyo sababu ya kujifunika manguo meusi hadi
machoni.

Kama mtu akisema Hamasi ni adui wa Israel peke yake, anatakiwa kuelewa
vizuri kwamba hawa watu hawataki kukaa na mtu yeyote na hawataki amani
mahala popote duniani. Hawana taifa wala mtu wanayempigania, ni watu
wanaoshiba katiak damu za watu.

Tupat pia fundisho la kuingiza mambo ya dini hii kwenye katiba kwa sabbu
sku zote wanakuja na lugha chanya kama kondoo ili wapate pa kuanzia.
Hamasi kama ISIS, walianza kama watetezi wa wa palestine. Utetezi huo
ukaingia dosari baada ya kuona Hamasi huyo anaweka vituo vyake vya kivia
kwenye makazi ya raia ili awatumie kama ngao. Waplestina walioshituka
kukataa kutumiw kama ngao, sote tunafahamu walivyopigwa na kuadhibiwa
vikali. Wakiwa kama ngao, wameendelea kufa kwa vita bila ulinzi wowote.
Bado sasa haitoshi hamasi ameanza kuwachinja Wapalestina kwa mkona wake
mwenyewe kama vile ISIS, n,k.

Swlai la kujiuliza Hamasi anapigana na Israel kwa maslahi gani ya
Wapalestina? Na baada ya Israel na palestina, nani ni next target?

Kwa unafiki huu na hila za hamasi kwa palestina, watanzania tunajifunza
nini katika kulinda serikali yetu na wananchi wetu?

Ccm hii haitoshi kuwaonyesha kwamba kuingiza masuala ya kadhi kwenye
katiba ni kudhoofisha usimamizi na nguvu ya sserikali juu ya masuala ya
ibada na imani hatarishi? Ccm wanachokifanya ni sawa na kumpa chumba
ndani ya nyumba mtoto wa cobra kwa kujifariji kwamba ni mdogo hatakuwa
na madhara.

Nyoka ni nyoka na hata awe mdogo ana sumu na anakua.

Mkuu Hamas wanachopigania ni haki ya kua huru katika palestine na ukanda
wa Gaza ukiwahusisha na masuala ya dini unakosea wao ni kundi la
kisiasa tofauti na hao Islamic state huko iraq ambao wanataka kuanzisha taifa la kiislam
 
Ccm hii haitoshi kuwaonyesha kwamba kuingiza masuala ya kadhi kwenye katiba ni kudhoofisha usimamizi na nguvu ya sserikali juu ya masuala ya ibada na imani hatarishi? Ccm wanachokifanya ni sawa na kumpa chumba ndani ya nyumba mtoto wa cobra kwa kujifariji kwamba ni mdogo hatakuwa na madhara.
Imenigusa sana hii.
Kuna issues kama za akina Kibwetere ambazo wahusika wanajitoa wenyewe bila kuwalazimisha wengine kuhusika lakini kwa haya makundi mengine kuwaingiza wasiohusika hata wapagani hakika ni hatarishi zaidi.
 
DUNIA NA IFIKE MWISHO! NIMEONA MAMBO YANAYOTENDEKA HASWA KWA CHRISTIANS KIDS IN IRAQ!, NIMEJIULIZA KAMA BAADA YA HAPO HUWA WANAPATA USINGIZI WANALALA, NA KUWEZA KULA??? WAKIABUDU HUWA WANAMTAJA MUNGU HUYU HUYU NINAYEMTAJA MIMI AU WENZETU NI WAPAGANI??? for sure this world should really come to an end! whatever is happening is soooo inhuman!
jana nimelia nilipoona maiti ya yule mwandish wa habari alouwawa
 
Mkuu Hamas wanachopigania ni haki ya kua huru katika palestine na ukanda
wa Gaza ukiwahusisha na masuala ya dini unakosea wao ni kundi la
kisiasa tofauti na hao Islamic state huko iraq ambao wanataka kuanzisha taifa la kiislam

Point of correction, HAMAS sio kikundi cha kisiasa hata kidogo, ni kikundi cha kigaidi. Kikundi cha kisiasa cha wapalestina ni PLO.

Tiba
 
jana nimelia nilipoona maiti ya yule mwandish wa habari alouwawa

Mimi siku hizi siangalii video zile za magaidi wanavyoua watu.

Niliacha kuangalia tangu mwaka 2004 nilipoangalia ile video ya Nick Berg, mmarekani aliyekatwa kichwa na magaidi Iraq.

Hii pia ilinikumbusha ile ya Daniel Pearl, alipokatwa kichwa na magaidi mwaka 2002.

Zinatisha sana.
 
Shin Bet ni wazuri sana kwa HUMINT(Human Intelligence).

In short vyombo vyote vya kiusalama vya Israel ni wazima katika humint
 
Point
of correction, HAMAS
sio kikundi cha kisiasa hata kidogo, ni kikundi cha kigaidi. Kikundi cha
kisiasa cha wapalestina ni PLO.

Tiba

ni kikundi cha kigaidi kwa mujibu wa Marekani, Israel na washirika wao
wa magharibi baadhi ya mataifa kama Urusi , uchina hata uturuki nikiwepo
na mimi mwenyewe tunaitambua Hamas kama kikundi cha kisiasa
kinachopigana dhidi ya udhalimu unaofanywa na Israel dhidi ya wapalestina.
 
Mimi hata sitaki angalia hizi picha maana huwa mwoga sana

magaidi ndo wanachotakaga hichi, watu waogope (terror), ila siku hizi watu wamewashtukia na ku deal nao kigaidi, jino kwa jino kama wanavyofanya israel, antibalaka, na buddhists uko mnyamar
 
Hamasi siyo kundi la kisiasa. Ni kundi la kigaidi. Palestina in PLO inajulilkana. Tafadhali. Lingekuwa na kisiasa ni siasa gani za kuanza kuchinja raia?

Mkuu Hamas wanachopigania ni haki ya kua huru katika palestine na ukanda
wa Gaza ukiwahusisha na masuala ya dini unakosea wao ni kundi la
kisiasa tofauti na hao Islamic state huko iraq ambao wanataka kuanzisha taifa la kiislam
 
Update: 14:26

[h=1]Hamas kills 7 more suspected collaborators in Gaza[/h]GAZA -

Hamas militants killed seven more Palestinians suspected of collaborating with Israel in a public execution in a central Gaza square on Friday, witnesses and a Hamas website said.

The victims, their heads covered and hands tied, were shot dead by masked gunmen dressed in black in front of a crowd of worshipers outside a mosque after prayers, witnesses and al-Majd, a pro-Hamas website, said.

Earlier on Friday, 11 people suspected of collaborating with Israel were killed by gunmen at an abandoned police station in Gaza, Hamas security officials said.
 
Labda utakuwa umesahau kuwa vikundi au vyama vya ukombozi vyote duniani viliwahi kuitwa vikundi vya kigaidi huku viongozi wao wakiitwa magaidi wanaotafutwa kwa udi na uvumba. Mandela pia aliitwa terrorist. Kumbuka maumau na ANC. Lakini je ANC au Maumau unakumbumbuka iliwafanya nini wale iliwapata wakitoa taarifa kwa wakoloni au makaburu? Fanya utafiti mdogo.

Ninatoa wito kwa wote wanaotazama movements za kigaidi kwa macho ya makengeza wakaze mboni zao ili wapate ukweli. Hawa watu ni adui wa amani duniani kote kwa sababu wanaishi kwa kumwaga damu za watu. Na kwa sababu ya ushetani wao, hata sura zao hawataki zionekane ndiyo sababu ya kujifunika manguo meusi hadi machoni.

Kama mtu akisema Hamasi ni adui wa Israel peke yake, anatakiwa kuelewa vizuri kwamba hawa watu hawataki kukaa na mtu yeyote na hawataki amani mahala popote duniani. Hawana taifa wala mtu wanayempigania, ni watu wanaoshiba katiak damu za watu.

Tupat pia fundisho la kuingiza mambo ya dini hii kwenye katiba kwa sabbu sku zote wanakuja na lugha chanya kama kondoo ili wapate pa kuanzia. Hamasi kama ISIS, walianza kama watetezi wa wa palestine. Utetezi huo ukaingia dosari baada ya kuona Hamasi huyo anaweka vituo vyake vya kivia kwenye makazi ya raia ili awatumie kama ngao. Waplestina walioshituka kukataa kutumiw kama ngao, sote tunafahamu walivyopigwa na kuadhibiwa vikali. Wakiwa kama ngao, wameendelea kufa kwa vita bila ulinzi wowote. Bado sasa haitoshi hamasi ameanza kuwachinja Wapalestina kwa mkona wake mwenyewe kama vile ISIS, n,k.

Swlai la kujiuliza Hamasi anapigana na Israel kwa maslahi gani ya Wapalestina? Na baada ya Israel na palestina, nani ni next target?

Kwa unafiki huu na hila za hamasi kwa palestina, watanzania tunajifunza nini katika kulinda serikali yetu na wananchi wetu?

Ccm hii haitoshi kuwaonyesha kwamba kuingiza masuala ya kadhi kwenye katiba ni kudhoofisha usimamizi na nguvu ya sserikali juu ya masuala ya ibada na imani hatarishi? Ccm wanachokifanya ni sawa na kumpa chumba ndani ya nyumba mtoto wa cobra kwa kujifariji kwamba ni mdogo hatakuwa na madhara.

Nyoka ni nyoka na hata awe mdogo ana sumu na anakua.
 
Kwanza nani mwenye uhakika kuwe wale watu wameonewa, hawakuwa informants/spy?? na adhabu ya kuspy dhidi ya taifa lako au mamlaka wakati wa vita inajulikana...Treason tu...au kupigwa shaba

sasa mlitaka wawafanyeje kama ni TRAITORS....nchi au mahali popote spy wa nchi nyingine akikamatwa huwa anafanywaje? waacheni na mambo yao....mnawaone huruma leo jana mlikuwa mnafurahia wauwawe na drones na makombora....

Imagine kwenye Serikali ya Israel,Usa, Uk, Russia au mahala kokote duniani ukamatwe uki wa spy tena wakati wa VITA unategemea watakuacha? hizi double standard zenu za kinafiki sana na ushabiki wa udini uliwajaa
 
Update: 14:26

Hamas kills 7 more suspected collaborators in Gaza

GAZA -

Hamas militants killed seven more Palestinians suspected of collaborating with Israel in a public execution in a central Gaza square on Friday, witnesses and a Hamas website said.

The victims, their heads covered and hands tied, were shot dead by masked gunmen dressed in black in front of a crowd of worshipers outside a mosque after prayers, witnesses and al-Majd, a pro-Hamas website, said.

Earlier on Friday, 11 people suspected of collaborating with Israel were killed by gunmen at an abandoned police station in Gaza, Hamas security officials said.

Tofauti yao na nchi nyingine ni kuwa wao wamewaua in PUBLIC wale wote wanaojua ni spy wa vita, nchi nyingine wangeoptezwa na wasingejulikana walipotelea wap au wametupwa baharini na mawe, au wametupwa kwenye Tindikali...

its a situation of WAR...vita mnaijua??
 
Ninatoa wito kwa wote wanaotazama movements za kigaidi kwa macho ya makengeza wakaze mboni zao ili wapate ukweli. Hawa watu ni adui wa amani duniani kote kwa sababu wanaishi kwa kumwaga damu za watu. Na kwa sababu ya ushetani wao, hata sura zao hawataki zionekane ndiyo sababu ya kujifunika manguo meusi hadi machoni.

Kama mtu akisema Hamasi ni adui wa Israel peke yake, anatakiwa kuelewa vizuri kwamba hawa watu hawataki kukaa na mtu yeyote na hawataki amani mahala popote duniani. Hawana taifa wala mtu wanayempigania, ni watu wanaoshiba katiak damu za watu.

Tupat pia fundisho la kuingiza mambo ya dini hii kwenye katiba kwa sabbu sku zote wanakuja na lugha chanya kama kondoo ili wapate pa kuanzia. Hamasi kama ISIS, walianza kama watetezi wa wa palestine. Utetezi huo ukaingia dosari baada ya kuona Hamasi huyo anaweka vituo vyake vya kivia kwenye makazi ya raia ili awatumie kama ngao. Waplestina walioshituka kukataa kutumiw kama ngao, sote tunafahamu walivyopigwa na kuadhibiwa vikali. Wakiwa kama ngao, wameendelea kufa kwa vita bila ulinzi wowote. Bado sasa haitoshi hamasi ameanza kuwachinja Wapalestina kwa mkona wake mwenyewe kama vile ISIS, n,k.

Swlai la kujiuliza Hamasi anapigana na Israel kwa maslahi gani ya Wapalestina? Na baada ya Israel na palestina, nani ni next target?

Kwa unafiki huu na hila za hamasi kwa palestina, watanzania tunajifunza nini katika kulinda serikali yetu na wananchi wetu?

Ccm hii haitoshi kuwaonyesha kwamba kuingiza masuala ya kadhi kwenye katiba ni kudhoofisha usimamizi na nguvu ya sserikali juu ya masuala ya ibada na imani hatarishi? Ccm wanachokifanya ni sawa na kumpa chumba ndani ya nyumba mtoto wa cobra kwa kujifariji kwamba ni mdogo hatakuwa na madhara.

Nyoka ni nyoka na hata awe mdogo ana sumu na anakua.

Acha unafiki dawa ya msaliti ni kifo good hamas.
 
Tofauti yao na nchi nyingine ni kuwa wao wamewaua in PUBLIC wale wote wanaojua ni spy wa vita, nchi nyingine wangeoptezwa na wasingejulikana walipotelea wap au wametupwa baharini na mawe, au wametupwa kwenye Tindikali...

its a situation of WAR...vita mnaijua??

Kufa ni kufa tu iwe kwa wazi au kwa siri,naomba ungekuwepo wakati wa mwalimu ili wakati wa vita ungewapa uganda siri za tanzania sijui nyerere angekufanyaje?
 
Back
Top Bottom