Hamad rRashid aiteka Wawi

hr ndo mbunge wa wawiiiiiiiiiii..........wapemba bwana watu wa ajabu sana na ni vigeugeu
 
Nadhani Kiswahili kinakupa shida! Nalo ni tatizo, nimeorodhesha jamii ya watu waliohudhuria katika mkutano au hukuona! Wenye akili timamu wote wapo majumbani mwao.

kiswahili hakinipi shida ndugu yangu,hayo magari uliyoorodhesha nachojua yatabeba watu si wanyama na hayo makundi uliyotaja ndiyo wafuasi wenyewe wa vyama mkuu,wawe wanafuata ngoma,wanafuata wanawake etc ndiyo wapiga kura wenyewe,kura ya jk na wewe ni sawa kwa hivyo kuwadharau si sahihi.kumbuka kuwa kwenye siasa kinachotakiwa ni wafuasi tu si wataalam,hisia zako usitake zimwingie kila mtu.
 
Assuming kwamba unaclhoongea ni kweli, kuna ajabu gain mtu kutisha kwao? Je, hao wanaokodishiwa ndege na kujaza mahoteli wanatoka wapi, kwa nini waje huko huyu bwana huko ni kwao na anakubalika? Hivi huko Wawi si ndo kule walikombebea mabango ya kumlaani?
 
Tanzania hatuendelei sababu wanawake na wanaume wanaishi kwa umbeya umbeya na uongo. Poor thing
 
habari zingine bana mbona hatuoni picha sasa kama kalipia pesa zote hizo una maana ameshindwa kulipia hata mtandao japo mmoja tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom