marwasenso
Member
- Apr 13, 2015
- 69
- 18
Hannanvajaba
Dua la kuku hilo
Yule wa act ni jembe huoni anaongoza halimashauri ya Kigoma na madiwani kibao tu nchi nzima,
Tena ni Raisi mtarajiwa wa 2020.
Tanzania Hakuna Chama Cha Upinzani,kuna Makampuni Maslahi Tu Ya Watu.Licha Ya Madhaifu Yake Mengi Lakini Ccm Is Still The Better Party In Africa.Ccm Itatawala Miaka 900000000000000000000
natabiri , wewe ni mtoto wa kiongozi wa ccm , bisha !Tanzania Hakuna Chama Cha Upinzani,kuna Makampuni Maslahi Tu Ya Watu.Licha Ya Madhaifu Yake Mengi Lakini Ccm Is Still The Better Party In Africa.Ccm Itatawala Miaka 900000000000000000000
natabiri , wewe ni mtoto wa kiongozi wa ccm , bisha !
Tunakushukuru sana lakini haya tumeyachukua kama yalivyowekwa kwenye gazeti , kwahiyo tusilaumiwe , bali shukrani kwa kuweka angalizo .
Atakuwa kwa 100% Ana maslai na nyinyiem__hujakosea mkuu,,,natabiri , wewe ni mtoto wa kiongozi wa ccm , bisha !
Sagga Continue!!Hii ni kutokana na mgogoro kati yao ambao umesababisha chama kudorora na kusababisha kukosa hata diwani wa dawa kwenye uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Mh Kimangale Musa ataendesha chama kwa mwezi mmoja wakati ufumbuzi wa kudumu ukitafutwa.
==================
Kwa Uraisi ni sawa coz hata Madee ni Raisi.Dua la kuku hilo
Yule wa act ni jembe huoni anaongoza halimashauri ya Kigoma na madiwani kibao tu nchi nzima,
Tena ni Raisi mtarajiwa wa 2020.
ok , nimekuelewa , kwahiyo kumbe hii njama imesukwa na Hamad Rashid ili ampindue miraji siyo ? yaleyale yaliyomkuta Limbu , kanyang'anywa chama hivihivi tu .Hata huyo aliechukua ktk gazeti hajalisoma vizuri,,, Hamad Rashid ndio wanataka kumpa uongozi ndani ya mwezi
au nyoshi el saadat , Muzee ya mujini .Kwa Uraisi ni sawa coz hata Madee ni Raisi.
Au Diamond Rais wa WCBau nyoshi el saadat , Muzee ya mujini .
Hata jpm ungeambiwa atakuwa Raisi usingekubali ungetoa kejeri kama hizohizo.Kwa Uraisi ni sawa coz hata Madee ni Raisi.
Hata jpm ungeambiwa atakuwa raisi huku wakiwepo wanasiasa mahili kama Lowasana Dr slaa ungetoa kejeri kama hizi lakini Leo ndio raisi wako.Kwani 2020 muhula wa rais wa wasafi unakuwa umefikia kikomo?