Hamad Rashid, Said Miraji wang'olewa ADC, Bodi yashika usukani

Hamad Rashid, Said Miraji wang'olewa ADC, Bodi yashika usukani

Dua la kuku hilo
Yule wa act ni jembe huoni anaongoza halimashauri ya Kigoma na madiwani kibao tu nchi nzima,
Tena ni Raisi mtarajiwa wa 2020.
Kwa hiyo Lengo limetimia ........kuwa na Mbunge 1 Kigoma na Halimashauri ya Ujiji sio ............
 
Usaliti ni kitu kibaya sana. Acha "gape" iwepo kati ya Hamad Rashid na Maalim
 
Huyu hamad rashid anataka awe makamu wa raisi ili afunguliwe milangobya gari lake na mapolisi na vingora .anaota usungizini na kuomba dua ili cuf wasushiriki.mimi nadhani akiwa nyumbanu kwake anafanya rehesol ya kufunguliwa milango ya gari na inawezekana amewakodi vijana wa boda boda katika hiyo rehesol wawa kama ndio wanaongoza msafara wake
 
Kwa hiyo Lengo limetimia ........kuwa na Mbunge 1 Kigoma na Halimashauri ya Ujiji sio ............
siku watu wa kigoma wakija kushtukia siasa za zitto nina hakika watajutia sana .
 
hamadi rashid anapenda sana ukubwa , lakini kwa jabali seif amekwama .
Ndio nakubaliana na wewe kabisa. Itamgharimu sana kuanza na moja mwenzake japo anamatumaini ya kutangazwa rais. Huyu labda amtafute dk.Slaa waanzishe chama
 
Rashid atakuwa makamu wa rais kwa kura si zaidi ya buku.Zanzibar mwaka huu kuna ajabu la dunia litaongezeka
 
QUOTE="Haki sawa, post: 15087626, member: 6236"]Kwa hiyo Lengo limetimia ........kuwa na Mbunge 1 Kigoma na Halimashauri ya Ujiji sio ............[/QUOTE]
Vipi kuhusu kiongozi Mkuu wa ACT-UJIJI.
 
Hamad Rashid arudi kwenye biashara yke ya kuuza skrepa india

Ovaa
 
Back
Top Bottom