Hamad Rashid: "Process ya Siasa ni Mchakato" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad Rashid: "Process ya Siasa ni Mchakato"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Dec 27, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,817
  Likes Received: 576
  Trophy Points: 280
  hii ni kauli iliyotolewa na mtu anayejitapa kuwa ni mwanasiasa mkongwe. hamad rashid.

  "process ya siasa ni mchakato"

  ha ha ha ha!!! hizi ndiyo aina ya akili za mbayuwayu alizosema JK?
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 33,741
  Likes Received: 8,300
  Trophy Points: 280


  Huyo bado anauwota uongozi wa kambi ya upinzani bungeni, soma signature ya mwana JF mwenzetu mmoja nimemsahau jina, signature yake inasema hivi; Hatuwezi kuwaachia nguruwe(ccm) shamba wale peke yao, lazima tule wote, Hamad Rashid. huyu ni mwasiasa uchwara tu.
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ni vigumu kuelewa malengo ya binadamu anayejiunga na nguruwe kufanya uharibifu kwenye shamba lake?! Sasa ni vigumu kuja kuwa na nchi salama kama viongozi wenyewe ni wa pork barelled Principle!
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 8,708
  Likes Received: 6,656
  Trophy Points: 280
  Ni mimi mwenye hiyo signature, na huyo ndiye msomi anayetegemewa na CUF wapemba huwaambii kitu.
   
 5. mapango

  mapango Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Any process is a process it self...he is right! au tatizo ni kuchanganya lugha mbili? kama hivyo sawa!
   
 6. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani process si ndio mchakato kwa kiswahili? Kwahiyo alichotaka kusema ni kwamba, mchakato wa siasa ni mchakato? kwanini asiseme tu kwamba, siasa ni mchakato??
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,041
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Huyo jamaa ni CCM sema hana jinsi ila ile ndoa ya CCM na Cuf naona anaifurahia sana.
   
 8. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo halina ubishi kabisa
   
Loading...