Hamad=jussa=0Jana Hamad Rashid alionekana channel ten akiwa katika hatua za mwisho kuunda chama kipya cha kisiasa akishirikiana na waliojivua uanachama wa CUF.
Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera mpya tofauti na CUF ya sasa na kupata uungwaji mkono mkubwa bara na visiwani kama anavyojinadi?
Jana Hamad Rashid alionekana channel ten akiwa katika hatua za mwisho kuunda chama kipya cha kisiasa akishirikiana na waliojivua uanachama wa CUF.
Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera mpya tofauti na CUF ya sasa na kupata uungwaji mkono mkubwa bara na visiwani kama anavyojinadi?[/QU
Haujamuelewa vizuri hamadi,alisema wale members wa kafu waliojiengua walienda kwake kupata ushauri tu,kwamba wao(exclude hr) wanawazo la kuanzisha chama sasa hamadi amewashauri tu!
I hope hiki chama hakitakuwa na Ofisi Misikitini tena kama kule "Mtaa wa Saba" alikohama.anatapa tapa huyu...kwisha habari yake...kama angetaka kupata walau wanachama 10 kule kwao tu Wawi asingelihamsha familia yake yote na kuhamia Tanganyika...hajitambuwi Hamadi Rashid ...mpeni pole!
Jana Hamad Rashid alionekana channel ten akiwa katika hatua za mwisho kuunda chama kipya cha kisiasa akishirikiana na waliojivua uanachama wa CUF.
Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera mpya tofauti na CUF ya sasa na kupata uungwaji mkono mkubwa bara na visiwani kama anavyojinadi?
Mmh! Kwa kweli utakuwa ulimnukuu vibaya kwani yeye bado ana kesi mahakamani na cuf hivyo hawezi kujihusisha na uundaji wa chama kwani Ni kinyume na Sheria, hana akili Kama za wale Jamaa waliokiuka amri ya mahakama na kutangaza kuwatimua na sasa wanasubiri jela itakapofika tar. 13 march, 2012.Jana Hamad Rashid alionekana channel ten akiwa katika hatua za mwisho kuunda chama kipya cha kisiasa akishirikiana na waliojivua uanachama wa CUF.Je chama hicho kipya kitakuja na siasa na sera mpya tofauti na CUF ya sasa na kupata uungwaji mkono mkubwa bara na visiwani kama anavyojinadi?
Nadhani ingekuwa bora kwa Hamadi Rashid a.k.a Pinda B, kuweka nguvu zake kwenye hicho chama na kuachana na CUF. Sasa kwa nini analazimisha kuwa CUF kwa njia ya mahakama wakati yeye ana chama kipya?
Nadhani wana CUF walifahamu njama hii ya HR mapema, sema HR alikuwa anatafuta gear ya kutokea ( ku-create chaos ndani ya CUF ili kupata wanachama wa kuanzia)
Kwa nini asingewaongezea nguvu CHADEMA? Naona wako mstari wa mbele kumpa support jumu JF!