Mpenda Kwao
Senior Member
- Apr 29, 2008
- 175
- 18
The Romantic,
Mwambie anitafute hata mie natafuta chama chenye DEMOKRASIA ya kweli.
Aliyekuwa mbunge wa Wawi ambaye jana amevuliwa uanachama wa CUF, Mh. Hamad Rashid Mohamed, ametangaza wazi kwamba anaanzisha chama kipya na amewataka wanachama wa CUF kurudisha kadi zao, na kwamba wawe tayari kujiunga na chama chake kipya kinachokuja muda si mrefu !
Source: Mlimani TV, Elimu Kwanza
wapi umechanganyikiwa nikueleweshe?The point is is EL plan B for 2015 presindency as HR start his own polotical party?Umechanganya chanyanya sana mpaka huelewiki, what is the point here?
HR ni mroho sana wa madaraka
hana uchungu wa kuwatetea wanainchi
jamaa ananikera huyu, ye anadhani kaja duniani kuongoza wengine tu?
.......nimemwelewa, ni kwamba kivuli cha EL kinamtesa/kinawatesa maana kila tukio la kisiasa likitokea nchi hii anahusishwa;Umechanganya chanyanya sana mpaka huelewiki, what is the point here?
Ameshangaa kuona amri ya mahakama ikivunjwa na kikao kilichokuwa na Makamu wa Rais pamoja na watu wengine ambao ni wanasheria. Mnamo saa tatu na nusu mahakama jijini Dar iliamuru kusimamishwa kwa kikao hicho, lakini maofisa makao makuu ya CUF Dar wakakataa kupokea barua kutoka kwa karani wa mahakama. Mwanasheria wake (Hamad) akaamua kumtumia Hamad amri ya mahakama kwa njia ya e-mail huko Zanzibar kilipokuwa kikifanyika kikao cha Baraza Kuu, na Hamad akaiprint na kumpatia Katibu Mkuu (Maalim Seif), lakini either Seif hakuitoa/kutangaza kwenye kikao au alitangaza ikapuuzwa kikao kikaendelea. Kabla ya watuhumiwa wote 14 kumalizika kuhojiwa, maamuzi ya yakatolewa chap chap dhidi ya watuhumiwa wachache (nadhani wanne) ili walau ijulikane Hamad amefukuzwa, halafu ndio wengine waliobaki wakaendelea kuhojiwa !!
Hayo ni matamshi ya Hamad alipokuwa akiongea kwa simu LIVE pale mlimani TV asubuhi hii
sijaona mnazungumzia uhalali wa amri ya mahakama kuu bara kutumika zanzibar. kule ni jurisdiction nyingine
na kuna mahakama kuu kule hiyo amri ya mahakama KUU BARA haiwezi kua binding kwa zanzibar.ninachojua amri ya mahakama ya Rufaa ndio peke yake inatumika kote kote na sio mahakama kuu ya bara since kikao kilikaa zanzibar. kwa hivo mkutano wa CUF ULIKUWA NA KILA SABABU YA KUENDELEA NA KIKAO CHAO KWANI HIYO AMRI HAIWEZI KUWA ZUIO KWAO n HATA WAOMBAJI WA ZUIO WALIJUA MKUTANO UNAFANYIKA ZANZIBAR WALIPASWA KUOMBA ZUIO KTK MAHAKAMA KUU ZANZIBAR.
Mwehu huyo! Ana uroho wa madaraka. Alishawahi kuwa waziri mambo ya ndani,mkewe anaroho mbayaa! Eti shamba boi au mfanyakazi wa nje akiomba maji ile glass alonywea anaivunja kwa madai imenywewa na kafiri! Ovyoo!