firstcollina JF-Expert Member Joined Aug 8, 2009 Posts 349 Reaction score 24 Feb 26, 2014 #101 Ben Saanane said: Uzoefu wa Serikali 2 uko wapi? Click to expand... Uko hapa hapa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tena ipo kwa zaidi ya miaka 40
Ben Saanane said: Uzoefu wa Serikali 2 uko wapi? Click to expand... Uko hapa hapa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tena ipo kwa zaidi ya miaka 40
Sword JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 864 Reaction score 184 Feb 26, 2014 #102 TataMadiba said: subirini siku LISSU au MNYIKA wakiwa wabunge wa Mahakama ndiyo mtajua haki inatafutwa mahakamani. Click to expand... Haitotokea siku hiyo, hawa hawana ubavu wa kumpinga mbowe, mbowe kwao ndio kila kitu, na chadema kama unamuabudu mbowe humpingi then utadumu humo vinginevyo...
TataMadiba said: subirini siku LISSU au MNYIKA wakiwa wabunge wa Mahakama ndiyo mtajua haki inatafutwa mahakamani. Click to expand... Haitotokea siku hiyo, hawa hawana ubavu wa kumpinga mbowe, mbowe kwao ndio kila kitu, na chadema kama unamuabudu mbowe humpingi then utadumu humo vinginevyo...
ifweero JF-Expert Member Joined Jun 12, 2013 Posts 7,957 Reaction score 1,341 Apr 22, 2014 #103 Ben Saanane said: Uzoefu wa Serikali 2 uko wapi? Click to expand... Unatumia kiungo gani kufikiri?