Hamad rashid hafukuziki wakubali awe mwana chama safi

Hamad rashid hafukuziki wakubali awe mwana chama safi

Status
Not open for further replies.
Afukuzwe tu akalime kijijini kwao... ana uroho wa madaraka... anataka uwenyekiti kwa lipi? Kaona mwenzie Seif anakula bata la umakamu rais anatamani awe yeye>> walivyokubali kufunga ndoa na CCM walifikiri vyeo watafaidi wote. Sasa wamegundua aliyebahatika kuwa makamu ama hata waziri ndo anafaidi (kama ilivyo desturi ya viongozi wa kiTZ,) .......alivyoukosa uongozi wa kambi ya upinzani mambo yalikuwa hivihivi... Mimi siwafagilii kabisa watu kama Hamad..

(TAYARI KESHAFUKUZWA Story over
 
hamari amefukuzwa uanachama mda mfupi uliopita
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom