Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,646
- 2,911
Chama au mgombea wana uwezo wa kujitoa katika hatua yoyote ile ya uchaguzi. Hapa ADC inachotakiwa ni kuitaarifu Tume ya Uchaguzi kuwa hawana mgombea wa Kiti cha Urais kwa sababu waliyekuwa naye amefukuzwa uanachama, na siyo mwanachama wao tena.Bado ni mgombea kwa mujibu wa tangazo la JECHA
Kwisha Habari yake.Believe my own source.
Mimi ni mdau niliyeshiriki kumpigia kura ya kumfuta uanachama mpaka sasa tushamkabidhi barua.
huyu hamadi ni wakufuza zanzibarAliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.
Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
Kama ADC wamemtimua kwa yeye kusapoti uchaguzi kurudiwa it means ADC hawaungi mkono uchaguzi kufutwa na kurudiwa,kama hawaungi mkono uchaguzi kurudiwa it means hakuna haja ya kuitaarifu ZEC kua Mgombea wao si mwanachama tena.Hapo ndipo CCM watatumia kama opportunity ya ku-assume kua Hamad bado mgombea kupitia ADC na kukamilisha matakwa yao.!Chama au mgombea wana uwezo wa kujitoa katika hatua yoyote ile ya uchaguzi. Hapa ADC inachotakiwa ni kuitaarifu Tume ya Uchaguzi kuwa hawana mgombea wa Kiti cha Urais kwa sababu waliyekuwa naye amefukuzwa uanachama, na siyo mwanachama wao tena.
Arudi ccm rasmi,maana tushamjua kuwa yy si mwanamabadiliko!!!Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.
Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
kuna jambo Mungu amekusudia kuitendea Zanzibar .Sijui wataongeza muda tena? Na sijui watachapisha tena karatasi za kura. Hata shetani anashangaa huu upuuzi unaoendelea
Umenena maneno mazitio na muhimu sana katika maisha ya binadamuni hivi , ukubwa wa laana ya usaliti umewekwa wazi sana ndani ya vitabu vitakatifu , hapo bado , kwa mujibu wa maandiko matakatifu yatamfika makubwa zaidi , shukrani zimwendee Mwenyezi Mungu ambaye aliweka utaratibu huu miaka mingi iliyopita .
Nadhani itamuwia vigumu sana kurudi CUF, kwa sababu kadhia zake zilianza tangu enzi za bunge la katiba, wenzie waliposusia bunge la katiba yeye aliendelea kukaa ndani. HasamehekiKatika siasa hakuna kuona aibu, arudi tu kwenye chama chake cha zamani.
Nyiee! Mnamvua Rais uanachama wakati yeye ndo mwenye chama?Aliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.
Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
Safi sana. Msaliti mkubwa huyu. Ajaribu TADEA. Huko anaweza kufahamiana na msaliti mwenzie ShibudaAliyekuwa mgombea Urais kupitia chama cha ADC Zanzibar amevuliwa uanachama wa chama hicho baada ya kuunga kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi zanzibar ZEC, Bwana JECHA.
Dhambi ya usaliti malipo ni hapa hapa duniani.
Safi sana. Msaliti mkubwa huyu. Ajaribu TADEA. Huko anaweza kufahamiana na msaliti mwenzie Shibuda
Huyu Hamad Rashid ni walewale akina Jecha, tusubili tuone kama ma CCM hayata mlinda kwa kumuagiza Jecha amuweke katika wagombea urais kwa kigezo kua aligombea awali.
akikubali seif je itakuajeBelieve my own source.
Mimi ni mdau niliyeshiriki kumpigia kura ya kumfuta uanachama mpaka sasa tushamkabidhi barua.