Hamad ana wafuasi wengi Tanganyika na Unguja, Seif Anaibeba Pemba

hamadi hana wafuasi wengi bara,hiyo ni picha anayojingea yeye mwenyewe-ngoja aanzishe hicho chama chake ndo atapata jibu lake vyema
 
HR ndo amekwisha. CUF itabaki na itaendelea na harakati za kisiasa. kwa wenye akili timamu na kumbukumbu za kutosha wanajua kwamba kwa Tz CUF ndo chama pekee ambacho kimekumbana na mikiki mikiki mikubwa bila kutetereka huku kikiendelea na MISIMAMO YA KULINDA SERA NA KATIBA YA CHAMA bila kujali UWEZETU au UVETERANI. Ni somo tosha kwa wasiopenda kuwajibika au kutumia sheria zilizopo kuwajibishana. Gamba limeshinda kuvuliwa kwa hofu ya kugawa chama - hakuna kitu kama hio ndani ya CUF-Sharia ni msumeno. Leo HR na wenzake watasema mengi but now they are out of the system. Msumeno umekereza nguzo walioegemea imekatika wemeanguka na hawatoinuka kisiasa. Kuna Inspector Mmoja aliwahi kuonesha aina zote za silaha (za kienyeji) ili kuipakazia CUF ila yuko wapi sasa. Kuna kiongozi Mmoja alikua akiwakebehi, kuwaadhibu na kuwadhalilisha CUF na viongozi wao yuko wapi sasa? Kidombooooooo hata macho hayana nuru! Yuko wapi yule kijana alieisaliti CUF Mkunazini na kuhamia CCM kama mpiga uongo-propaganda? karejeshwa ZNZ kwa kigari sasa anatembea kwa mkongojo! CUF imesimama kwa misingi imara na kitadumu. Sheria ni Msumeno. Seif anasimamia sheria za Chama. Ana udhaifu kama binadamu wengine ila hao kina HR wanashindwa kuleta ushahidi wowote wa kukiuka au kuvunja taratibu za Chama kama Seif (kama amewahiufanya hivyo ni kupitia vikao vya chama na hapo inakua sio maamuzi yake bali ni maamuzi ya Chama). HR and allies watafute biashara wafanye wameshindwa kuonesha uvumilivu wa kisiasa walitaka kwa nguvu ila wamepiga ngumi ukuta...

Ni kweli kabisa Sheria Ni msumeno, sasa basi subiri tar23, march,2012 ndipo utakapojua Hiyo MISIMAMO YA KULINDA SERA NA KATIBA YA CHAMA BILA KUJALI UENZENU AU UVETERANI kwa SULTANI wako, Hivi Ni Sheria AMA sharia anayoisimamia?!
Hongera pia kwani unaonyesha kufurahia waliopoteza NURU YA KUONA pamoja na walopata ULEMAVU. hongera sana kwa kuhusisha na hali hiyo na siasa kwani umeiweka Kama laana flani hv kwa ambayo labda yashawahi kukukuta Wewe AMA jamaa zako lakini elewa lolote linalotokea kwa mwanaadam Ni Mwenyezi Mungu ndiye apangaye.
 
Back
Top Bottom