Haloteli hana Mpinzani hapa Tanzania mimi na wewe Daima

Hizi kampuni za simu usiseme daima huwa wanabadilika hadi unajiuliza ndio wale? Voda walitoka yakwako 2000 unapata 5GB hadi 2000 unapata 500MB. Haya makampuni ni kuwa tu open minded unaangalia wap kuna nafuu kwa muda huo.
 
mbona sioni 'vijana' wa mitandao mingine wakijituma namna hii??
wanafeli wapi hao? 🤣 🤣
 
Nimetumia Halotel tangu 2015 ila lately speed ya data inasumbua sana
Siwezi tena stream Netflix au YouTube bila kufanya buffering. Shame...
 
Siwezi tena stream Netflix au YouTube bila kufanya buffering. Shame..
Rudi nyumbani Kumenoga, TTCL inafanya vizuri
1108552

Nafurahia ukaribisho kwa GB60
Kwa muda gani?
Vipo vifurushi vya
- Siku
- Wiki na
- Mwezi
Ni uchaguzi wako kulingana na mahitaji yako.
1108551

#5. 10GB = TZS. 10,000
Nikiunga mara mbili, nakamilisha wiki.

Pia wana BOOM PACK, nayo iko vyema
 
Back
Top Bottom