Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,080
- 3,261
Zantel unawasingizia, speed ya kawaida tuZantel
Zantel unawasingizia, speed ya kawaida tuZantel
1000=10GB kwa siku? Ttcl?Shida ya voda vifurushi vipo ghari sana. 2500 kwa tigo napata GB 2.5 na dk kibao mpaka za mitandao yote. Halotel 1000 napata GB 10 kwa usiku. Voda kwa 1500 unapata kama 2.5 kwa usiku.
Mimi voda nishaacha kuitumia natumia Tigo na Halotel
Halotel ingekuwa nzuri hiyo modem ungeuza?Royal bando ya Tsh 10,000 unatumia data bila kikomo, yaani intaneti siku 30 bila kikomo.
Nauza modem ya halotel 15000
Halotel ingekuwa nzuri hiyo modem ungeuza?
Mkuu kuwa makini usitapeliwe uje kusema Jf matapeliIla naomba kufaham wazee wa kutuibia Bando za mitandao husika kwa mwaka or kwa Link ambayo naweza kupata MB za kutosha kwa mwezi na Bei nafuu tafadhali ndgu zangu, kuja kwa PM
mbona mimi natumia halotel jamani na iko vizuri tu katika intaneti.Halotel wako poa upande wa vifurushi vyao hasa kifurushi cha Royal bando kwa elf10 unapata internet mwezi mzim bila kikomo na dakika 200 au 120 mitandao yote ila network yao majanga harafu kwann hawataki kuketa 4G?? Naamini wakileta 4g network itakaa poa kwa wenye cm za 4g pia.
Hajui huyu
- Hujui hata simu ni modem?
Royal bando ya Tsh 10,000 unatumia data bila kikomo, yaani intaneti siku 30 bila kikomo.
Nauza modem ya halotel 15000
Hivi ni bila kikomo kweli?Hili bando ni mkomboz sana kwangu aisee maana naperuzi youtu.be na kwingineko bila kujali kuishiwa. Mb kwa mwezi mzima kwa gharama ya 10k tu
Hivi Mtoto wa kiume huoni soo kusema Unakoshwa