Halotel wanatatizo gani kwenye modem zao

Rdj Shibo

Member
Jan 5, 2018
71
40
Gafra modem yangu haisomi laini/simcard Kwann naomba msaada ili niendelee na kazi zangu Wanandugu
 
Ila hawa jamaa walichokifanya kweny lain ya chuo mungu atawalipa yaan kutoka gb10.500 mpk gb 6 aisee
 
Back
Top Bottom